Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

Siku moja niko zangu kijiwen nikawa na view status basi kuna jamaa yangu akaona status ya shemeji yangu mmoja mke wa binamu aisee alizuzuka akapagawa mbaya (kisa ma filter ya snapchat hayo) ..nikamuonea huruma sana maana kiukwel hata mimi nikiri shemeju nainaye mjua na ile status picture alo post ni vitu tofaut kabisaa.Nikajua ni kwann wanaume wanapigwa sana mitandaoni...Tika siku hiyo huwa nadharau sana picha hasa kama mtu simjui live live
 
Nilikutana na Diva bank moja tupo dawati la malalamiko...........itoshe tu kusema hizi filter ni noma isee
 
Sasa mkuu wa mikoani tunaingiaje hapo!?
Mleta uzi ni mdaslam mwenzio, wanoombaga kupiga nao picha huko daslam ni wadaslam wenzao, sisi tunawaleteaga shobo wakija huku kwetu tu ila tukiwa huko hata mimi mpare wa milimani siwashobokei hata kidogo.
 
WALE WANAOTAFUTA WAPENZI KWA NJIA YA MTANDAO, WANAJUA ZAIDI HAYA.

UNATUMIWA PICHA, UNA JAA WIVU NA KUWA NA MASWALI MENGI. HIVI HAKUNA WANAUME/WANAWAKE HUKO?
SASA UJE KUKUTANA NA MTU MWENYE ANA KWA ANA.......................KITUKO!!!
 
Umesema kweli kabisa.....wakati huku tunashinda nao tu.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…