Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

kama aliingia madarakani kijeshi ni kawaida kwenda front
 
Habari za kifo chake haziko wazi, ila ni kama amekufa kwa majeraha ya risasi, na mtoto wake anayejulikana kwa jina la Kaka ametangazwa kuwa rais wa mpito.
Kama mtoto katangazwa Rais,bado ngoma nzito hapo...
 
Déby, was expected to give a victory speech after receiving the provisional results, but opted instead to visit Chadian solidears on the front lines, said his campaign director Mahamat Zen Bada...!![emoji848][emoji848][emoji848]walimchoka wakamshauri vibaya ili wakammalize
 
Watajijua waafrika ndivyo tulivyo yaani tangu 1991 mtu yuko madarakani tu , hakuna maendeleo udikteta tu
 
Si nasikia kapewa mwanae, wataendelea kula keki gao
 
Yaani kafa halafu Military Council itaongoza Nchi na Mwanae ndio atakuwa kiongozi wa Nchi kwa muda wote, Bunge na Katiba vimesitishwa. Hapa kuna harufu ya mchezo mchafu,pengine kafariki natural death wakaona waseme kafia Vitani ili Mwanae achukue Nchi ili kuogopa Makamu wake asishike madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…