Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Bravo.. Bravo..! repeat
Bravo..Bravo..

Two dictator's down.!! repeat
Two dictator's down....

do you copy.!?

Loud and Clear....over and out.!!
 


Dunia inaenda kasi sana aisee.

Dogo Mahamat Deby(Miaka 37) aliyekua anaandaliwa kupewa urais sijui kama hao majenerali watampa.
 
Ndio maana inatakiwa katiba imara na taasisi imara kuzuia hii hulka.

Hii ni hulka aliyonayo mwanadamu,hata siku ya kufa mtu muovu ataomba angalau apate dakika chache angalau akatoe swadaqa ingawaje ameishi duniani miaka 30 lakin hamkufanya hilo!
 
Hiyo victory speech akaitoe huko kaburini.
 
Jeshi ndio linaongoza nchi kupitia baraza la kijeshi katika kipindi hiki cha mpito cha miezi 18, otherwise useme mkuu wa baraza la lijeshi ni mwanae vinginevyo acha upotoshaji.
Unabisha nini sasa?hilo baraza litaongoza Nchi na Mwanae ndio kapewa hilo shavu.

 
By the way jamaa ana pisi kali balaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]vijana fursa kwenu
 
hawa maraisi wa Afrika wanaokaa madarakani zaidi ya muda wao sasa ndio mwisho!

ila hawa huwa wananpata nguvu kutoka kwa inchi za mbele ila kikinuka wanarukwa dakika za mwisho!

Pole kwa taifa maana huu wakati ni mgumu.

Amani itawale zaidi!
 
Hawawezi kufanya ujinga huo never
Kwanini mkuu??? Ujue lakini yeye ndio Mwenyekiti wa hiyo Military Council inayotawala kwa miez 18 na kufuta serikali yote ya kuchaguliwa(Baraza la mawaziri na Bunge)


Na pia usisahau sio mtu madogo jeshini huyu kijana no jenerali wa nyota NNE(Wanaita General Major kwao) baba Yale alikua ni Marshal(Nyota 5)

Yaaani hapa ni labda wageukane huko majenerali ila akikaa vizuri wanamuachia atawale. Yeye ni second in command wa majeshi yote Mali na pia kamanda wa Special Forces na amesoma kuanzia shule za kijeshi primary na sekondari kamalizia Chuo cha kijeshi Ufaransa. Na wafaransa wanavyotawala haya mataifa kwa rimoti naona kabisa wakimpa sapoti dogo
 
Ee Mungu sisi Waafrika tunakushukuru sana kwa 2021.

Daima kila ufanyalo wewe ni jema na ni haki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…