Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Jeshi ndio linaongoza nchi kupitia baraza la kijeshi katika kipindi hiki cha mpito cha miezi 18, otherwise useme mkuu wa baraza la lijeshi ni mwanae vinginevyo acha upotoshaji.
Ndio ni mwanae mwenyekiti wa hilo Baraza Jenerali nyota tank Mahamat Deny Into
 
Deby bure kabisa ngoja wakome, ndio wajue kwamba hakuna rais wa maisha. Huyo naye alivunja mihula ili atawale milele.

Well done the rebels for forcing the dictator into unceremonious retirement he did not plan for.
 
Ndio ni mwanae mwenyekiti wa hilo Baraza Jenerali nyota tank Mahamat Deny Into
Na hilo jina la Kaka ni lake alipewa na wazazi au ni utani tu, maana naona kuna sehemu wamemu address kama Mahamat Kaka!
 
Hivi raisi anaenda uwanja wa vita kweli bila ulinzi mathubuti? Sio kamba hii kutoka kwa wajeshi?
 
Hapa unaona maana ya mawazo ya Nyerere na Mandera
 
kila nchi na katiba yake jombaa,usikariri
 
Mwendazake Field Marshal Idriss Deby Itno wa nchi ya Chad alikuwa ktk kundi la wachache yaani watatu tu Afrika wenye cheo hicho, wengine wawili ni Field Marshal Tantawi na Field Marshal Al Sisi wote wa Egypt.

Field Marshal Al Sisi




Field Marshal Tantawi

 
Raisi alienda kupigana na waasi? Yaelekea walimiudhi sana akaamua kwenda kuwamaliza yeye mwenyewe na vidole vyake vilikuwa vinamuwasha kuteigger gun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…