Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Deby bure kabisa ngoja wakome, ndio wajue kwamba hakuna rais wa maisha. Huyo naye alivunja mihula ili atawale milele.

Well done the rebels for forcing the dictator into unceremonious retirement he did not plan for.
 
Ndio ni mwanae mwenyekiti wa hilo Baraza Jenerali nyota tank Mahamat Deny Into
Na hilo jina la Kaka ni lake alipewa na wazazi au ni utani tu, maana naona kuna sehemu wamemu address kama Mahamat Kaka!
 
Hivi raisi anaenda uwanja wa vita kweli bila ulinzi mathubuti? Sio kamba hii kutoka kwa wajeshi?
 
Unatangazwa mshindi halafu unakufa fasta. Hii kitu naona Mungu kaamua kumtuma malaika mtoa roho kuwasaidia Waafrika kwa mikono yake.

Huyu mwamba yeye hii ni awamu ya 6 na hataki kuondoka sasa Mungu kalala naye mbele. Kuna wakati msimtanie Mungu kuwa mnamtanguliza wakati mnawatesa wengine sasa anaamua kugawa dozi mwenyewe bila uwepo wa jeshi na polisi wenu.
Hapa unaona maana ya mawazo ya Nyerere na Mandera
 
Yaani kafa halafu Military Council itaongoza Nchi na Mwanae ndio atakuwa kiongozi wa Nchi kwa muda wote, Bunge na Katiba vimesitishwa. Hapa kuna harufu ya mchezo mchafu,pengine kafariki natural death wakaona waseme kafia Vitani ili Mwanae achukue Nchi ili kuogopa Makamu wake asishike madaraka.
kila nchi na katiba yake jombaa,usikariri
 

Mwendazake Field Marshal Idriss Deby Itno wa nchi ya Chad alikuwa ktk kundi la wachache yaani watatu tu Afrika wenye cheo hicho, wengine wawili ni Field Marshal Tantawi na Field Marshal Al Sisi wote wa Egypt.

Field Marshal Al Sisi





Field Marshal Tantawi

 
Raisi alienda kupigana na waasi? Yaelekea walimiudhi sana akaamua kwenda kuwamaliza yeye mwenyewe na vidole vyake vilikuwa vinamuwasha kuteigger gun
 
Back
Top Bottom