CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Tapeli la gesi ndani ya Nyumba!!!!! mabomba yamefika kinyerezi wewe tapeli tayari kuanza kutumia kama vipi jiue

Yani vitoto vya chadema banah vina hasara sana,sasa kushindwa kwenu kalenga na chalinze hasira uhamishie kwenye gesi yetu??

mbona mnakuwa kama chanuo??kazi zenu ni mbili tuh kuchanwa nywele na kusukwa nywelee..

Mmevurugwa sana
 
Nafanya tuu tafakuri ya haya, maana 2015 ndio hii na mambo yenyewe ndio haya!.
Pasco
 

Ki msingi maoni yako ni ya msingi na hakika yanatakiwa kuheshimiwa. Nimepata shida sana kufuatilia uchambuzi wako kwa kuchanganya lugha za kishwahili na kiingerza bila sababu za msingi sana. Na kwa bahati mbaya hata nukuu yako iliyoonyesha ilitolewa na Dr. Slaa, ilikuwa na kasoro hizohizo. Tujitahindi kuandika kishwahili japo kutakuwepo kasoro ya hapa na pale.

Kwa maoni yangu; kama CHADEMA haijajipanga, CCM imeendelea kujiharibia kiasi kwamba thamani ya CCM mwaka 2010 ni kubwa kuliko ilivyo sasa hivi. Kwa sasa imeshuka sana, walisalia na mtu mmoja makini sana , Dr Harison Mwakyembe na sasa wanfanya jitihada kubwa sana kuonyesha sio chochote na si lolote. Ni mwizi kama wengine. Sasa ni nani atawaokoa. CHADEMA heshima yake imezidi kupanda hata kama si kwa viwango vya juu sana.
 
Uko sawa mkuu! Watz wanayaona Manyago yanayofanya Cdm.
 
Pasco rafiki! Nimekupenda kama msemakweli na mpenzi wa Mungu. Lakini nimejitahidikukusoma kwa hii mistari uliyotupa bado sijaona kama wewe ni msaada kwa waTZ. Maana nakuona wewe ni mtupu kabisa kwa uchungu wa rasilimali za nchi hii kufaidiwa na wachache na famili zao. Nigekusifu kama ungewapa matumaini waTZ ya kuangalia upya mfumo wa siasa za Tanzania na ungejenga hoja za kuwasaidia kujitambua na kuchukua maamuzi magumu ya kubadilisha chama nakutoa mapendekezo kwa CHADEMA ya namna ya kukijenga chama ili ikpate wanachama wengi zaidi ya kukifikisha kuchukua dola hata ikiwezekana 2015.
 
Nafanya mapitio nilisema nini lini, leo ni lini na kwa muda uliobakia hadi October, nini kinaweza kufanyika!.

Pasco
 
wachache wataona km maajabu ikulu kumuona slaa/lipumba!!! ukawa ikulu ata km utakataa
 
Nafanya mapitio nilisema nini lini, leo ni lini na kwa muda uliobakia hadi October, nini kinaweza kufanyika!.

Pasco

Mkuu kweli uliona mbali sana!! ACT Tuko pamojaaaaaaaaa!
 
Pasco hivi unajua kwa jinsi watanzania walivyo Choka na ccm chochote chaweza tokea na dunia ikashanga sana..na ccm wakashanga sana nn kimetokea na usitoe uchambuzi kuhusu Chadema kuwa awajajipanga labda uwazungumzie watanzania kuwa awajajipanga lakini siyo Chadema.
 
Hawa jamaa ndio imekula kwao tayari.Baada ya 2015 watabakia kwenye historia kwa kuwa wabunge pekee waliolala sero mara nyingi kuliko hata majambazi

Wewe ndio sifuri kabisa.....kulala sero sio issue katika siasa za kiafrika....... More than half of the leadership of ANC spent half their lives either running on in jail.....plastic brains you got there
 

Mkuu huoni kwamba unaegemea shemu moja tu? maranyingi chadema wamekuwa vinara wa kuanzisha vurugu. zipo baadhi ya sehemu hapa nchini zinajulikana kwa vurugu za CDM, vurugu zote zinazotokea kwenye mikutano ya CMD zina chochewa na kauli tata za vongozi wao, ambapo polisi inapotaka kutuliza vurugu hizo ndio inapelekea maafa hata kwa wasio husika
 
Kitendo cha Chadema kukubali kumchukua Lowassa, huu ni uthibitisho Chadema imekuwa sikivu, imekubali kurudi nyuma na (retreat) kujipanga upya na kufanya shambulio moja kubwa, itatoa pigo kuu, pigo takatifu!, naomba kukiri for the first time kuwa 2015, UKAWA unatinga Ikulu ya Magogoni!.

Hongereni sana Chadema kwa kuwa wasikivu, na sasa Watanzania tunawazawadia Ikulu yetu ile ya Magogoni!.

Pasco
Pasco
 
Mm hyo hedingi yko nimeipenda sana tena sana ukweli hapo ndo huo mkuu ila ukisema ukweli wanaanza kuongea kugha mbaya humu mlijipanga lakin kwa hli mmepoteza
 

Subiri waje wabishi

Haaahaaa
Potelea mbali bora kura Yangu nimpe el nje ya ccm
 

Pasco, hatimaye umeamua kukana maneno yako uliyoyatoa baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM, nakumbuka ulisema sasa Lowasa asihangaike kutoka CCM kwani magufuli ni Jembe. Lkn naona sasa umekuja kugundua kwamba Lowasa ndiyo habari ya mjini, kwani Pombe hasikiki tena.

Ni kweli UKAWA watashinda URAIS na wabunge wengi sana. Wewe subiri Oktoba.
 

Yametimia mkuu Pasco...
 

wewe unaishauri chadema kama nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…