CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

Ni makosa makubwa mno kumkejeli Freeman Aikael Mbowe ambaye bila yeye CHADEMA ingekuwa kama UDP, DP, NLD, CHAUSTA, PONA na wengineo! Kumbuka Mbowe alivunjwa mguu na alisota jela miaka mingi na kufilisiwa mali zake nyingi akipigania demokrasia leo unamsema vibaya hivi?!
Tatizo la Mbowe alifika bei. Na pia pamoja na kupigania demokrasia alikuwa anatumia siasa kufanya biashara!!
 
Back
Top Bottom