Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,136
- 1,118
Hawahawa mabeberu ambao wanapotusaidia huwa tunawaita wadau wa maendeleo. Hata TZ kuna mabeberu local kina Rostam Aziz.Hii Jumuia ni ya Mabeberu?
CCM wanatamani wasingemnanga Mbowe kwani sasa ndiyo wamebaini kuwa waliruka mkojo wakakanyaga mavi, this time around ndipo wanadai kuwa Mbowe hakuwa gaidi bali mwanasiasa safi.
Dunia ndivyo ilivyo
Mkeka uko wapi tuchangie?Jana nimechangia 30000 kiroho Safi kabisa
Namba za chama zipo KILA sehemu changia MAGEUZI ndugu muda ndio huu.Mkeka uko wapi tuchangie?
Ngoja tukimizane muda unakwenda Kasi, ukombozi unakaribiaNamb
Namba za chama zipo KILA sehemu changia MAGEUZI ndugu muda ndio huu.
Halafu kuna watu wanataka tumuamini mboweMbowe alivuta 10b kumuuzia Lowassa nafasi ya kugombea Urais 2015.
Tatizo la Mbowe alifika bei. Na pia pamoja na kupigania demokrasia alikuwa anatumia siasa kufanya biashara!!Ni makosa makubwa mno kumkejeli Freeman Aikael Mbowe ambaye bila yeye CHADEMA ingekuwa kama UDP, DP, NLD, CHAUSTA, PONA na wengineo! Kumbuka Mbowe alivunjwa mguu na alisota jela miaka mingi na kufilisiwa mali zake nyingi akipigania demokrasia leo unamsema vibaya hivi?!