CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

Chadema haina jeuri ya kukata hela! Wait and see
 
Kwamba matokeo ya uchaguzi ni haramu ndiyo maana hamkupeleka majina ya viti maalum ila ruzuku iliyotoka na matokeo haramu haina shida.

Mwenye NJAA hawezi kuwa na msimamo,heri Maalim Seif aliamua mapema kuchagua upande badala ya kuendekeza huu unafiki.
 
Naomba kufahamu sifa za Chama kinachotakiwa kupata Ruzuku kwa kina sio sifa za ujumla na maneno matupu hii itasaidia kujua vyama vyenye sifa ya kupata Ruzuku ikiwemo mapaka na DP.

Baada ya maelekzo yanayoeleza sifa za kupata Ruzuku nadhani tutapata uwanja wa kujadili kwa pamoja bila ubabaishaji!
 
Mbowe akatae hela? Labda awe hajazaliwa Kilimanjaro
Assets za Mbowe ni zaidi ya zote za ukoo wenu,baba yake ni hadithi nyingine. Kama ingekuwa umetoka Chatto kabla ya uhuru ungeijua Mbowe Hotels
 
Ukitaka kujua malengo halisi yaliyojificha ya akina Mbowe,msome Dk Slaaa.
Ameandika kuwa akina Mbowe lengo lao ni kupata luzuku ndiyo maana walimuweka Lowasa.Hata kumuweka Lisu ilikuwa kwa ajili hiyo hiyo.
Walijua hawatashinda.
 
Kama CCM walivyotafuna za COVID 19 kutoka EU, wakati waliaminisha dunia hakuna ugonjwa, wala hawakuzikataa!.
 
Dah....1.4b kwa mwezi? Hivi hiyo hela haiwezi kutumika kwenye vitu vingine vya maana?.....Dah 🤭
 

Why refuse a free ride? The blamed are those dishing out.
 
Lissu au kura yako ambayo haikuhesabiwa? [emoji16][emoji16][emoji16]

Sehem pekee wabongo wanajua kudai haki zao ni kwenye ajali za barabarani.
 
Labda wanazihesabu halafu halafu wakimaliza wazirudishe...
 
Chadema haina jeuri ya kukata hela! Wait and see
Sasa ina maana gani wasuse wabunge 20 ambao wangewapa political mileage bungeni alafu wakubali 100M isiyoweza hata kuservice makao makuu na kanda zake hta kwa mwezi mmoja.

Udhamini wanaopata makes ruzuku look peanuts, huwezi risk credibility kwa 100M ni insanity.
 
Ukitaka kujua malengo halisi yaliyojificha ya akina Mbowe,msome Dk Slaaa.
Ameandika kuwa akina Mbowe lengo lao ni kupata luzuku ndiyo maana walimuweka Lowasa.Hata kumuweka Lisu ilikuwa kwa ajili hiyo hiyo.
Walijua hawatashinda.
Reference ni Dr.Slaa ambaye aliweka sharti la kugombea urais ni kulipwa mshahara wake wa kibunge??
Kma walijua hawatashinda kulikua na haja gani ya kuwaengua wagombea na kupora uchaguzi mchana kweupe?

Well hata mmi sikutegemea CHADEMA washinde sababu ya tume yetu ila walau isingekosa wabunge wa majimbo na kura at least 30% ila sio maigizo ya kukosa majimbo yote
 
Mlichanga milioni 400 huku bilioni 8 zilizokusanywa chadema kwa miaka 5 zikiwa hazijulikani zilipo
Hazijulikani kivp wakat financial statements zote zilikia audited na CAG na akatoa hati safi.

Hizo Billion 8 ni michango iliyopo kikanuni kabisa na inaingizwa mfuko mkuu wa chama au ulidhani kuendesha kampeni unahitaji laki 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…