CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

Issue ipo katika COVID-19. Si wangezikataa maana ni pesa haramu?
Wapi wamezikubali? Gazeti inasema ITAPATA sio wameconfirm kupokea. Till then hakuna popote wamekiri kupokea hyo pesa
 
Wewe mwenyewe ni kinara wa hao uliowaita wajinga.

FYI:Ruzuku inapatikana kutokana na matokeo ya uchaguzi Mkuu.

Fuata hiyo link kutoka ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa utoe tongotongo ubongoni.

 
Hazijulikani kivp wakat financial statements zote zilikia audited na CAG na akatoa hati safi.

Hizo Billion 8 ni michango iliyopo kikanuni kabisa na inaingizwa mfuko mkuu wa chama au ulidhani kuendesha kampeni unahitaji laki 5?
Kwa hiyo ziliendasha kampeni ya mwaka gani? Na CAG alienda kukagua mwaka gani
 
Kwa hiyo chadema watakataa ruzuku?
 
CCM wanafikiri kuwanyima wapinzani fedha za Ruzuku ambazo zipo kisheria ni moja ya mbinu mpya ya kuwadhoofisha - CDM inaweza kujiendesha hata bila senti ya hela hii

CCM sasa inajilipa ma billion ya shilling za Ruzuku kila mwezi - meno yote 32 nje ni raha tupu mtaa wa Lumumba
 
Kwa hiyo ziliendasha kampeni ya mwaka gani? Na CAG alienda kukagua mwaka gani
CAG amekagua kila mwaka na hajawahi toa hati chafu btw mwaka jana ndio mliibua hiyo kashfa TAKUKURU ilichunguza ikaona hamna wizi ikaufyata. Pia CAG alitoa hati safi kwa CHADEMA amid hyo skendo.
Ssa tukuamini ww mchimba chumvi au CAG mwenye ujuzi wa forensic auditing?
 
CCM walifakamia ndululu za katiba mpya licha ya kikao kuvunjwa! Na hawakutapishwa.
Bil.1.3/= CCM ni chama kinachitia umasikini nchi, wangekuwa na uchungu na nchi wangeweka ukomo wa ruzuku, wanachota hizi nyingine wanazichota kwa kisigino tusiwaone!
 
Unatetea ujinga mkuu! Hata kama ni mahaba kwa chama chako ila unajua kabisa pale chadema hizo bilion 8 zimeingia kwenye matumbo ya kina Mbowe,

CAG kwani si anakagua karatasi tu, au unafikiri watu awajui kufoji?
 



Ruzuku ni pesa ya wananchi wote sio pesa ya Chama kimoja hivyo kuongelea tu Chadema ni sawa na kutokujua sheria na maana ya ruzuku.
 
.
Unatetea ujinga mkuu! Hata kama ni mahaba kwa chama chako ila unajua kabisa pale chadema hizo bilion 8 zimeingia kwenye matumbo ya kina Mbowe,

CAG kwani si anakagua karatasi tu, au unafikiri watu awajui kufoji?
Karatasi unafoji vp wakati unapaswa uonyeshe risiti, ankara, mapato na matumizi na procedure za procurement! Kuanzia tenda mpaka malipo?

Kma ingekua makaratasi tu basi ilikuaje 2016/17 aliwapa hati ya mashaka CHADEMA kwa kutothaminisha Fixes assets zake? Vp kuhusu mchakato wa manunuzi wa gari la mbunge kwa akaunti za chama? Ilionekana kwa makaratasi?

Ndio maana nkakuuliza unafaham forensic auditing? Hao TAKUKURU waliitumia kuona kma Mbowe alizunguka accounting standards ili aibe lakini hawakuona ushahidi. Mind you waliomba ripoti zote mpaka katiba na akaunti binafsi za viongozi?

Hakuna ufisadi
 
Huo ni mgawo kutokana na wabunge wao 20, pamoja na madiwani

Niseme tuu hongera kwa Halima na wenzie 19 kwa kukiwezesha chama kupata ruzuku

Mungu ibariki Tanzania
Sio kweli ruzuku inatokana na wingi wa kura walizopata kwenye uchaguzi mkuu
 
Nithibitishie kuwa chadema wamezitumia hizo pesa, inaweza kuwa zimewekwa kwenye akaunti ya cdm lakini hawajazigusa, hiyo ilishawahi fanywa na yanga pamoja na diamond
 
Huo ni mtego kwa chadema. Wapige hesabu waondoe kile kiasi Cha wale covid 19 waweke pembeni ,wasizitumie kabisa kwani hai siyo wabunge walioteuliwa kihalali.
 
Mwenyekiti wa kikoba kang'oa kipengele cha ukomo!
Basi CCM itakuwa "Likikoba" kabisaa maana inabeba mabilioni ya fedha ya ruzuku!Ndio maana zimefanyika hila kwenye uchaguzi ili ruzuku kubwa ibebwe na CCM!
 
Wapi wamezikubali? Gazeti inasema ITAPATA sio wameconfirm kupokea. Till then hakuna popote wamekiri kupokea hyo pesa
zitoo alisema kama hawajapokea wakiri hadharani mpaka sasa hakuna aliefungua domo lake kusema chadema hawajapokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…