THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #41
Why now,and why kila akiwa kiongozi muislam chadema wanakuja na Agenda hii ya udini?Sijaona tatizo Kwa kauli ya Lema!!
Tusichague mtu kutokana na Dini yake kuwa muislam au mkristo Bali kutokana na uwezo was kiuongozi na kutatua changamoto za wananchi!!
Udini ni ujinga uliokita mizizi kwa watz wengi sana na haujawahi kutatua changamoto za umaskini na maendeleo Kwa jamii,zaidi ya kutugawa makundi na chokochoko kibao!!