CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Sijaona tatizo Kwa kauli ya Lema!!

Tusichague mtu kutokana na Dini yake kuwa muislam au mkristo Bali kutokana na uwezo was kiuongozi na kutatua changamoto za wananchi!!

Udini ni ujinga uliokita mizizi kwa watz wengi sana na haujawahi kutatua changamoto za umaskini na maendeleo Kwa jamii,zaidi ya kutugawa makundi na chokochoko kibao!!
Lema ametoa angalizo la msingi sana,lakini wale walevi wa dini wasio na akili ya kawaida kabisa ya asili wataona kuwa Lema ni mdini.

Dini ni kilevi cha wanadamu.
Ila kuna dini zingine ulevi wao ni hatari zaidi ya hatari yenyewe.
 
Nikishaanza kuona tu mtu analeta habari za dini za watu weupe na kujifanya anazifia sana huwa nampuuza kishenzi. Cha ajabu anayejifanya anafia hizo dini akienda huko zilikobuniwa wanamuona wa kawaida sana.

THE BIG SHOW
 
Huwa nawaambia vijana wangu waache itikadi kali za kidini!

Haziwasaidii zaidi ya kuwabebesha mzigo mkubwa kuliko maisha yenyewe!!

Msomi unakuwaje na itikadi kali za kidini!!?
 
Nachokumbuka, baada ya TEC ,kutoa maoni, Kuna kikundi kilipandikiwa na chama tawala, kikijiita watetezi wa uislamu, kikasema wanampinga kwa kuwa raisi ni muislamu, pia kwa kuwa dp world ni waarabu pia waislamu, ndipo kauli ya Lema , kwenye mikutano Fulani iiaibuka hasa pale mbagala,
Pia Kama kanisa katoliki lilimpinga magufuli Kuhusu covid 19, waliendelea kuambia waumini wahumini wake wavae barakao, pia hata askofu alieendesha ibada ya mazishi ya hayati raisi magufuli, alishawai kumdai magufuli katiba mpya na akaambiwa sio raia wa Tanzania,
Changamoto akipingwa raisi wa dini ya kiislamu CCM , tawala kinatengeneze kinatengeza mamluki kukimbilia kujilinda Kuhusu udini ili kuzika Moto hoja za msingi.
 
Hata kanisa la KKKT majuzi lilishambuliwa sana na CHADEMA kisa hawamtaki Askofu mkuu Malasusa ambaye kagoma kutumika kisiasa kama mtangulizi wake Askofu Shoo. Huyu Askofu Shoo alinunuliwa V8 la kifahari na kina Mbowe.
Mmeshindwa Siasa sasa mnaleta Udini. Upuuzi mtupu.
 
Asante Sana Mkuu
Hizo dini za kutungwa ukaaminishwa ni za maana ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Maana zimekuingia akilini unaona ni kitu Cha maana wakati hazitatui lolote katika maisha, zaidi ya kulishana hofu zisizo na any scientific proof. Huo ujinga tuliuacha muda mrefu baada ya kufuatilia na kukuta ni vitabu vya waliogoma kutumia akili, na kuamua kuamini story za kusadikika.
 
Wacha ufala wewe! Ishi kwa akili yako, unaabudu maneno ya mpumbavu Lema, endeleeni kumjaza ujinga huyo Mpuuzi wenu mropokwji Lema maokeo mtayaona.
Kenge wewe huna lolote acha kutisha watu. Lema amesema ukweli, acha ukweli usemwe
 
Alichosema Lema kina ukweli, Proff Asad, Zito Kabwe and the like ni taswira halisi ya alichosema akili kubwa Lema. Wakati wa JPM hawa walikuwa Mwiba ila sasa kwakuwa aliyepo wanaendana kiimani huwaskii hao wachumia tumbo. Kwa mantiki hiyo usemi wa Lema ni sahihi 100%

Lazima umtetee mchagga mwenzio/mkristo mwenzio, sasa ndio mmeyakoroga na kama ulikua hujui population ya waislamu ndani ya Tanzania na Zanzibar kwa ujumla basi mtaendelea kufelu na kupigiana ninyi kwa ninyi wa imani yenu na kabila lenu huko kaskazini, isipokua waislamu tu!

Hata wasukuma wenyewe wanajitambua hawawezi kukipigia chama chenu cha udini na ukabila.
 
Hizo dini za kutungwa ukaaminishwa ni za maana ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Maana zimekuingia akilini unaona ni kitu Cha maana wakati hazitatui lolote katika maisha, zaidi ya kulishana hofu zisizo na any scientific proof. Huo ujinga tuliuacha muda mrefu baada ya kufuatilia na kukuta ni vitabu vya waliogoma kutumia akili, na kuamua kuamini story za kusadikika.
Pumzi inakupa kibri, umauti ukikufika ndio utaongea vizuri
 
Kuna wakati Kuna watu wanashindwa kuzuia kabisa chuki zao dhidi ya uislamu, waislamu na wakati mwingine watu wa Pwani.

Hizi siku ngapi nimegundua, kumbe mengi yanayoendelea nchi hii ni chuki tu dhidi ya waislamu, uislamu na watu wa Pwani, hata hizi kelele za juzi za EL na JK, shida ilikuwa ni uislamu wa JK na upwani wake na nina amini kabisa JK angekuwa mkristo au mkatoliki wa kaskazini wala asingesakamwa.

Nchi kama nchi kuna mahala inashida sana, ubaguzi na chuki ni za kiwango cha juu kuliko tunavyofikiria, Kuna mahala nimeanza kuwaza hata hawa Marais Waislamu ni Kuna mahala huwa wanahujumiwa Kwa maslahi ya dini na watu wa Kanda fulani.
 
Huwa nawaambia vijana wangu waache itikadi kali za kidini!

Haziwasaidii zaidi ya kuwabebesha mzigo mkubwa kuliko maisha yenyewe!!

Msomi unakuwaje na itikadi kali za kidini!!?
Kuwa msomi ni pamoja na kuamini katika mambo yenye proof, na Yale yasiyo na proof huna haja ya kukaza fuvu. Sasa unakuta mtu anajifanya msomi, kisha analazimisha uamini yasiyo na proof zaidi ya hisia.

Mlokole mmoja alikuwa anasumbua Kodi kwenye nyumba yangu, nikamfanyia ustaarabu wa kumdai, nikasikia anawaambia wenzake eti hata akikwama Kodi anafanya maombi napigwa upofu simdai! Siku hiyo nikasubiri usiku akiwa katikati ya maombi nikamchomoa kwenye nyumba yangu, hakuamini alichokuwa anakutana nacho.
 
Pumzi inakupa kibri, umauti ukikufika ndio utaongea vizuri
Kwenye Nini labda, au hiyo pumzi inatolewa na hayo mavitabu ya watu weupe? Mmelishwa hofu za kijinga kwa mambo msiyo na ushahidi nayo. Hizo hofu ndio mnataka Kila mtu aziamini. Fanya hivi, tunza hiki nilichoandika hapa, siku ukifika huko unakoaminishwa utaenda ww unayeamini hayo mavitabu, unishitakie kuwa nilikufuru.
 
Nikishaanza kuona tu mtu analeta habari za dini za watu weupe na kujifanya anazifia sana huwa nampuuza kishenzi. Cha ajabu anayejifanya anafia hizo dini akienda huko zilikobuniwa wanamuona wa kawaida sana.

THE BIG SHOW
Well,you are wrong Mkuu...

As for us Muslims,hatupractice Imani yetu Kwa kuangalia rangi ya mtu,uwezo wa mtu,wapi anatokea na kadhalika,awe muarabu,awe mzungu,awe muhindi,awe mchina,awe mwafrika we all mention one word ALLAH,we believe in abrahamic religious point of view of monotheism of god,na yule Alie Bora amongst us ni yule ambae ni best katika kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake
 
Kwenye Nini labda, au hiyo pumzi inatolewa na hayo mavitabu ya watu weupe? Mmelishwa hofu za kijinga kwa mambo msiyo na ushahidi nayo. Hizo hofu ndio mnataka Kila mtu aziamini. Fanya hivi, tunza hiki nilichoandika hapa, siku ukifika huko unakoaminishwa utaenda ww unayeamini hayo mavitabu, unishitakie kuwa nilikufuru.
Amini unachokiamini,amini unaemuamin, wewe una dini yako na sisi tuna dini yetu,heshimu dini yetu na sisi tuiheshimu dini yako,soon after death tutajua who was right and who was wrong...
 
Well,you are wrong Mkuu...

As for us Muslims,hatupractice Imani yetu Kwa kuangalia rangi ya mtu,uwezo wa mtu,wapi anatokea na kadhalika,awe muarabu,awe mzungu,awe muhindi,awe mchina,awe mwafrika we all mention one word ALLAH,we believe in abrahamic religious point of view of monotheism of god,na yule Alie Bora amongst us ni yule ambae ni best katika kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake
Wapi ww, ukiambiwa utoe scientific proof ya hayo uliyokaririshwa huna. Hayo mavitabu mnayojifanya kuamini yaliletwa kuwapumbaza na waliokuja kama wakoloni. Hakuna popote palipo na mtume wa huko kwenu Mtwara, Bado unajipandisha kama ni kitabu Cha maana kumbe upuuzi mtupu.
 
Mnaaswa msiweke udini kwenye kuchagua mnalialia Nini sasa?
Naskia mnasemaga kuna majini 'eti' mazuri😭😭😭 tokalini shetani akawa mzuri jamani???
 
Back
Top Bottom