CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Why now,and why kila akiwa kiongozi muislam chadema wanakuja na Agenda hii ya udini?
 
Tundu lisu aliekawa mwiba Kwa magufuli nayeye ni ndugu zake kina zitto na Assad?

Acha kumfananisha Samia na vitu vya ajabu wewe,Leo unaandamana na askari wa kukulinda unapewa basi unajiona mwaamba?herooo kumbe nguchiro tuh
 
Lema anasahau waasisi wa siasa hizo za kupita makanisani uchaguz wa 2010 kikwete vs padre mzinz wilbroad slaa ni wao...

Lema na chadema waache u.fa.la...na kama wanatafuta bwana wa bure kwetu waislam hawawezi kupata,labda waende Vatican Kwa PAPA...
 
Hakuna uislam wa aina moja popote pale duniani. Uislam wa Ulaya usiufananishe na uislam wa Uarabuni auwa Afrika. Pia Uislam wa Iran usiufananishe a Uislam mwingine. Story za Uislam ni mmoja utazikuta kwenye vijiwe vya Afrika pekee.
Kilichoi sambaratisha Yemen ni uislam upi utawale pale
 
Hata kanisa la KKKT majuzi lilishambuliwa sana na CHADEMA kisa hawamtaki Askofu mkuu Malasusa ambaye kagoma kutumika kisiasa kama mtangulizi wake Askofu Shoo. Huyu Askofu Shoo alinunuliwa V8 la kifahari na kina Mbowe.
Eti "Askofu mkuu Malasusa ambaye kagoma kutumika kisiasa...", binadamu mwenye akili timamu kuwa muongo ni ushetani.

Malasusa ana mpaka kadi ya CCM, na amekuwa akitumiwa kisiasa kwa ajili ya CCM, ninamfahamu vyema sana.
 
Eti "Askofu mkuu Malasusa ambaye kagoma kutumika kisiasa...", binadamu mwenye akili timamu kuwa muongo ni ushetani.

Malasusa ana mpaka kadi ya CCM, na amekuwa akitumiwa kisiasa kwa ajili ya CCM, ninamfahamu vyema sana.
Kwahiyo mlitaka asapoti agenda za CHADEMA kwa lazima? Tulieni dawa iwaingie
 
Sio kila wanapotajwa waislamu/wakristo basi moja kwa moja kunahusishwa dini.
 
List hii hapa...

James delicious, Noel,Dayon huyu kafikia hadi hatua ya kijibadili jinsia na kuweka uke, Aggrey na kadhalika... waislam hao eeeh?? kafiri wewe...
Utakuwa ni mtoto wa juzi wewe mvaa kobazi usiye jielewa! Mashoga wote waanzilishi wa huo mchezo ni ndugu zako. Tena enzi hizo walikuwa wanajiita Ma anti! Mfano kulikuwa naAnti Ali, Anti Athumani, Anti Bilal alifikia mpaka hatua ya kujitangaza hadharani kupitia Clouds Tv! Afande Rama naye alifikia mpaka hatua ya kujirekodi na watu kujionea mauza uza!

UKienda Zanzibar, Tanga Mjini, Dar, Mombasa, na Pwani yote ya Afrika ya Mashariki; kila shoga unayekutana naye lazima awe ni ndugu yako katika imaan! Halafu unasema nini hapa!
 
Kwa Dharau hizi halafu nchi iwe chini ya Chadema?
Hekma hamna anyway mtavuna mnachokipanda subirini.
 
Hiyo unasema wewe kafiri,

Uislam unaunganishwa na kalima ya Laa illah Illa Allah, Muhammad Rasuul Allah ..

Hakuna Mungu anapaswa kuabudiwa isipokuwa Mungu Mmoja Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo na kwamba Muhammad ni Mtume wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…