Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

Ni kweli Magufuli Ni Simba -mbuzi, Ni 'walamba miguu' tu akina polepole bado hawajafumbua macho kumtazama huyo mbuzi.
 

Mkuu heshima kwako. Nakazia kwa kupigia mstari:

"Tundu Lissu hata asipofanya kampeni, anashinda unless mshindwe kuweka mikakati thabiti kwenye vituo vya kupigia kura."

"Njooni na mkakati wa kudhibiti kura za kila kituo cha kupigia kura ili kuhakikisha kuwa kura zinakuwa halisi zilezile zilizopigwa."
 
Kwa nini uwanja wa ndege usingekuwa Katoro?? Au hata Biharamuro??? Ambako sehemu kubwa ya mbuga iko maeneo hayo??

na kwanini pia usiwepo chato? kwann unawatenga watu wa chato? because ndo katokea magu uko ama? si ni wananchi pia na wanahitaji biashara zichangamke pia apo chato
 
Huyo kibaraka wa mabeberu akishinda mi nahama nchi
Jamani jamani sasa nimemuelewa aliyesema: wengine wanaenda shule kusoma ujinga. Huyu binti akiandika tu akapost ukasoma utajua alikwenda kusoma ujinga. Hii mwanzo ilikuwa balaa. Kuna mtu kamsaidia kuedit. Ahsante Yarabi!
 
Tumeshafika, adui Yuko mbendembende anamtegemea Diamond na Zuchu ndio watu wasogee Kwa dakika chache kwenye mikutano yake.Ilibaki Tume Tu nayo tunaikusanyia ushahidi. Kama alivyotabiri Polepole CCM ni wepesi kama ubua
Wapo kwenye 18 kwa zaidi ya 100%
 

Attachments

  • VID-20201005-WA0006.mp4
    2.6 MB
Mwisho wa ccm upo karibu sana tushike nafasi zetu vizuri.
 
Hahahaha hapana comrade. Nipo sehemu sahihi kabisa. CCM inatakiwa kubadirika sana na haiwezi kubadirika bila kuwekwa pembeni angalau hata miaka 5-10.

huo mda ulikua 2015, nadhan kama watu ni kuichoka ccm waliichoka kweli, lile vibe la kujiandikisha sio poa, upinzani ni muhimu sana ila mnachofanya kwa watanzania sio poa kabisa! yaani mlivoanza tu kusema sjui tule izo barabara, sjui tule ndege! wacha ninyamaze tu, kwanza nmefurahi sana hii flyover imekuja apa ubungo, sio kwa kusubiri kule aisee alafu mnakuja kusema kweli hazina kazi, mnachofanyia watanzania sio poa kabisa, bora mngekazia ajira, nyongeza ya mshahara na mengine mengi ambayo yalikua kero alafu muongee kwa kushawishi watu sasa sio mnapsha watu, watu wana shida nyingi kwenye haya maisha vita za mtu binafsi na mtu mwingine kiukweli tunampa pole lakini hata mm nna matatizo yangu binafsi pia sipo tayar kuskiliza matatizo mengine, but npo tayar kuskiliza utatuzi
 
"Sisi tuko serikalini. Ni wazalendo katika kambi ya adui. Tunawahakikishia kuwa adui kwa ndani ameshakwisha habari yake. Mnavyomwona kwa nje ni fabrication tu, MSIOGOPE. Songeni mbele!"

Hii kauli imenipa Faraja sana.
 
Buti lenyewe kalivaa lisu uzitowake ni kama kg2 hivi na ushee.
bonge la buti kama la jeje.
 
Hakika Bwana yule na wenzake wamelegea..na ishara ya awali ni uondoaji wa madiwani na wabunge ktk maeneo yao ya uchaguzi. Pili ni matamko ya Tume na Msajiri wa vyama..matamko yao ni kulilinda kundi lao lililokata tamaa. Siasa mfu ni kipimo cha anguko kuu.!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…