Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

Unataka kusema kibaraka atashinda?
Atashinda japo mnaweza msimtangaze hadi mbinde.....ila atashinda and this time hata mkimtumia TB Joshua haitosaidia lazima uchaguzi urudiwe with tume huru kama Malawi....na ICC inawahusu
 
100° uko sahihi
 

Vyema..

Lazima uwe na cha kuanza nacho...

Ndani nyumba yako mna nyoka. Huwezi kuanza kuwaza kuwasha jiko ili upike badala ya kumuua nyoka (adui) kwanza kisha mambo mengine yafuate.....

Huwezi kuanza kushughulika na maadui ujinga, maradhi na umasikini huku mifumo na njia zote za kushughulika na hayo imeshikwa na adui, CCM...

Kwanza fukuza au muue kabisa adui, kisha fikiri namna ya ku - repair kila kitu kilichoharibiwa na adui...!!
 

Kwa hiyo uhuru na haki waliyonayo ndiyo maana wagombea wao wameenguliwa, uhuru na haki waliyonayo ndiyo maana vyombo vya habari havimtangazi mgombea wao uhuru na haki waliyonayo ndiyo maana watu wanatoa maoni kwakutumia fekelo. Hivi kutoa maoni hapa kwa kutumia fekelo ndo uhuru na haki tunayotakiwa kujivunia. Kumbe wale wajinga kati ya maadui watatu mmoja wapo ni wewe.
 

Wewe ni shabiki kipofu wa fikra na akili na ufahamu wako...

Hujui lolote. Hufahamu chochote. Hakuna anayeweza kupenda mzoga ulio - oza na kunuka unless ulazimishwe kwa mtutu wa bunduki...

Labda naweza kukubaliana na wewe kitu kimoja katika haya uliyoandika...

Kwamba, kuitoa CCM madarakani, ili iachie dola ni purukushani, patashika na nguo kuchanika inayoambatana na vurumai na hata umwagaji damu na anguko kuu la kiuchumi....

That's very correct, I agree with you...

Hata ukombozi wa wana wa Israel toka Misri ilikuwa ni vita hatari yenye kila aina ya purukushani, patashika na nguo kuchanika ikiambatana na umwagaji damu....

Lakini mwisho wa siku, pigo moja na la mwisho lilimmaliza adui - Farao for good...!

Hata hawa CCM na Magufuli wao, watarusha mikono na miguu huku na huko na kujitumainisha kuwa bado wanapendwa, na kutumia wachawi na wanajimu wote, lakini mwisho wa siku watanyoosha maneno na kulazimishwa ku - surrender na hali halisi....

Mungu muumba akiwa kazini mwenyewe kuongoza vita kuokoa watu wake, KAMWE HAJAWAHI KUSHINDWA...!!
 
Alisema ataendelea na kampeni, kiko wapi???

jamaa ndo anajua sheria nchi nzima na yeye ndo anahukumu nchi nzima, sasa yamemkuta na asipochunga atawashwa risasi izo lips
 

uache kupoteza mda kuandika utumbo, usilazimishe chadema ionekane inapendwa wakati una uwezi kufanya research private! namjua mtu mmoja tu anaekubaliana na lissu mpaka sasa toka kampeni zmeanza na mtu mwenyewe hapigi kura maaana kahamishwa kikazi, wengine wote nnaowajua mm ni ccm, infact isiwe maneno mengi wacha nkuonyeshe numbers

nadhan mpaka apo tumefunga mjadala
 
We madiluu Acha ujinga wako kwa nini upeleke wanyama huko? ?Paruaneni mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vzr

hahha kwan huju mbuga ambayo ni heritage ni serengeti tu, zingine zilitengenezwa! si unajua tanzania ni ya tatu kwa mapato afrika ya watalii, si umeona faida yake sasa
 
Ila magufuli katuibiwa sana,uwanja wa ndege chato.barabara ya ubungo,tazara,reli na mifuko ya kijamii yote kaifilisi,vyama upinzani anaona maadui,ushauri ataki ila kuna watu watampa kura
 
Amina
 
Kama wewe ulivo na mafisiem wenzako
Madiluu

ilani ya ccm imenyooka na magu akipanda jukwaani unajua kabisa anaenda kuelezea miundo mbinu hta usiposoma kitabu kizima unajua kabisa walibase kwenye miundo mbinu, na wanafanya ! sasa cdm mpaka leo hatuelewi mara kazi bata, mara uhuru utadhan bado tupo ukoloni mara akipanda jukwaani anashindana na maneno na watu, kwan hamna kitabu cha ilani cha kusoma?
 

kama wewe una mda wa mabishano aisee tafuta njemba zingine, mm i am very happy kupata fly over!!!!!! haswa ukiwa unatoka sam mujoma ukiwa unaenda buguruni kama unapita hii route lazima ujue umuhimu wake, mabishano mengine tafuta njemba zingine
 
kama wewe una mda wa mabishano aisee tafuta njemba zingine, mm i am very happy kupata fly over!!!!!! haswa ukiwa unatoka sam mujoma ukiwa unaenda buguruni kama unapita hii route lazima ujue umuhimu wake, mabishano mengine tafuta njemba zingine
Jibu tu maswali comrade
 

Huwezi kufunga mjadala...

Mjadala unaendelea. Wewe ndiye lala maana "mnapendwa" lakini cha ajabu kutwa nzima, mnapiga propaganda ku neutralize mambo ...
 
Bwana wa Mabwana Mungu wa miungu Alfa na Omega ameshaamua kutukomboa kutoka kwwnye mdomo wa waovu ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…