CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

Kwani dola unayoisema unapewa kama pipi? Ni nani anatoa kisa kuwa na adabu? Acha hoja za kijinga!
 
Uzalendo si kuunga mkono hata mambo yasiyo na maana.Ni nonsense!
 
Pumbavu kabisa! Una uhakika gani kama walipata mwaliko? Uzalendo ni mpaka uende uwanjani?
 
Kiongozi yupi wamtaka, mliyemweka korokoroni au?
 

kwa akili hizi mbowe anaamini ana watu nyuma yake[emoji1787].

magufuli alsema barabara itamuliwe,2016 zikatumika 4bln barabara ikatanuliwa,wajapana wametoa zaidi ya 75 bln kuifanya barabara kama unavyoiona.

muongo ni magufuli au kichwa lako limejaa uji wa ulezi!!!!
 
viongozi wa kitaifa wa chama cho chote cha siasa hupewa mwaliko maalum katika sherehe za kitaifa. hawakurupuki tu kama wewe unavyokwendaga kucheza mchiriku.

Thibitisha ikiwa walipewa mwaliko na wamekataa.
 
Mnastahili nyie genge la wezi mliotuibia kwa miaka 60 na kutuacha katika umasikini, ujinga na maradhi
 
Hiki chama kina watu wajuaji balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jirani yako akiandaa sherehe halaf amemuweka ndani baba yako utaenda?
 
Ila kuharibu uchaguzi na kuiba kura ndiyo uzalendo,,,
Shithole ww
 

Chadema kwa kitendo hichi kimetuwakilisha Kundi la Watanzania tunao ona bado tupo chini ya Utawala wa Mkoloni Mweusi CCM.
 
Kama kweli wamefanya hivyo wamekosea.
Kwan wamevunja kifungu gan cha sheria?? Pia kama chama kikuu cha upinzan wanashirikishwa kwa lipi? Zaid ya kusakamwa kuwindwa kama kwale!!
 
Sometimes tumia akili na utashi kdg kushika dola hakushabihiani na kuhudhuria jambo flani, tafuta point yenye mashiko kuthibitisha hawawez shika dola!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…