Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

Sasa kama mnatumia pesa za walipa kodi kwa kujaza matumbo yenu,mnataka tusiseme?
Si kuna audited financial reports za chama ambazo msajili wa vyama zinamfikia? Kama zina mafekeche (qualified opinion) mfikisheni Mbowe kwa pilato akazitapike. Sio nmajazana kupiga kelele hapa JF ambazo haziwasaidii lolote.
 
Si kuna audited financial reports za chama ambazo msajili wa vyama zinamfikia? Kama zina mafekeche (qualified opinion) mfikisheni Mbowe kwa pilato akazitapike. Sio nmajazana kupiga kelele hapa JF ambazo haziwasaidii lolote.
Tulia Pccb wazifanyie kazi utapata majibu.
 
Bora wao wanatukana tu
 
Eti inakubalika, mngeogopa hata watu kucheka suti ya XXXXXL ya dikteta uchwara?
 
Hiyo ni haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako. Lakini je hakuna wasiojulikana wanaotukana viongozi na wanatumiwa na Chadema?Umaarufu ili iweje acha hisia za kitoto.

Wanatukanwa wapi, ni mara ngapi hao viongozi unaoumia wakitukanwa, wanawaumiza watu wenye mitazamo tofauti na wao l, na wala huonyeshi kuumia? Ni unyanyasaji wa kiasi gani wanawafanyia hao cdm huku ww ukiona ni sawa? Au hao viongozi wanaowanyanyasa cdm ww huwajui, ila unawajua tu wanaowatukana hao viongozi? Ukionyesha kuumia viongozi kutukanwa, unatakiwa uonyeshe kuumia pia viongozi hao wakileta unyanyasaji kwa wengine. Huu umaarufu wa kijinga uanaousaka kwa mgongo wa cdm haukutoi dogo.
 
Chadema wanahangaika masikini hawaamini km ruzuku mwisho july

Ila Mbowe mjanja sana baada ya kujua October hatapata mbunge hata mmoja ameamua alambe Bilion nane

Ruzuku yenyewe ya 250m
 
Naamua kucheka maana unashangaza watu. Kwa hiyo hayo matusi hayaoni humu Jf na mitandao kama twitter? Hapa Tanzania kuna dikteta uchawara? Kuna rais anayefanya extrajudicial killings? Mimi sina shida ya umaarugu kama unavyowaza. Mimi ni mkulima ila kwenye ukweli nitatumia haki yangu ya kikatiba kama ibara ya 18 ya katiba ya JMT inavyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…