Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Si kuna audited financial reports za chama ambazo msajili wa vyama zinamfikia? Kama zina mafekeche (qualified opinion) mfikisheni Mbowe kwa pilato akazitapike. Sio nmajazana kupiga kelele hapa JF ambazo haziwasaidii lolote.Sasa kama mnatumia pesa za walipa kodi kwa kujaza matumbo yenu,mnataka tusiseme?