CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

Ralax
 
Hongera Sana kwa kujiingizia sh 7000 mkuu ... Chadema ni ajira tosha hapo Lumumba [emoji23][emoji1][emoji23]
 
Kwi Kwi Kwi
Kwi kwi kwi nini.

Mtavuna mnacho panda. Sasahivi ungesha weka picha ama video za maandalizi lakini ni aibu tupu.

Ngoja nitupie picha ya mgariwenu ulivyo nasa hapa watu wanaupitia mbali kama gari la taka taka.

Akili zisipo warudia mkatambua watu walivyo na uchungu na maendeleo ya nchi hii, na mtu aliejaribu kupambana kuondoa ufisadi ndio huyo mnae furahia kifochake, mtabaki kama ACT.

Nafahamu mnaelewa sana upepo ulivyo sema mnajizima data makusudi.

Muda utawaonyesha makosayenu ambayo mnayajua na mnayafanya kwa makusudi.
Bila shaka mmechagua matumboyenu kuliko uzalendo.
 
Mtoa post nakuhakikishia hapo kesho patakuwa hapatoshi, na naomba ufuatilie tarehe 25, ktk maandamano kwenda kumpoke Mh. Sana Tundu Lisu, ndipo utakapojua hujui
Maandamano ya kupokea msaliti wa taifa
 
Wapi nimesema inaniuma? Mimi nafurahi
Unafurahi ili? Halafy unakuta mtu kama wewe wazazi wako wana life choka mbaya sana huko Bushi, ila uko town una kenua meno tu, ujinga wa watu kama nyie ni mtaji mkubwa sana kwa CCM.Fake ID zinasaidia sana la sivyo
 
Siku ya mkutano utazima data.

Muitikio ni mkubwa ndiyomaana hata wewe umetoka huko ulipotoka na kwenda mwanza kufatilia mkutano wa chadema kama ulivyosema.
Yuko Mwanza wapi? Unaamini yuko Mwanza? Hawa ni wapumbavu amabo wakisha milij smart phone wamemaliza kila kitu, ila Wazazi wao wana life la choka mbata huko bushi linalo sababishwa na hawa hawa CCM
 
Puuzieni ujumbe huu.
 
Si ndio vzr kwenu kama CDM wakifeli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…