Diaspora wawap awo mana me nipo England sjaskia iyo kitu na tuna umoja ambao hua tuna share info zote kupitia uongozi wetu na kama juzi tumekubaliana tuje home kwenye kuapishwa mh na mm kesho nasafiri kuja uko
Mtutumie na picha tuwaone
πππ Acha kupanick tuma picha wewe au hujaenda mkuu ??Cowards stay in your hideouts, ukombozi ni kwa mashujaa tu!
Sii kila dai ni haki unapaswa kujua hilo
Na si kila interest ni national interest zingine ni personal interest zinazowekwa kwenye kivuli cha taifa ili kupata support hao wote wapiga kelele walikua viongozi walifanya nn kikubwa mpa watu waingie barabaran
Picha kwani unatafuta mume?πππ Acha kupanick tuma picha wewe au hujaenda mkuu ??
Mmekosa la kusema nyie ππPicha kwani unatafuta mume?
Kwani yule Lugola si mwalimu wako vile?Mmekosa la kusema nyie ππ
Umeambiwa tuma picha wewe unaanza mambo yenu aliyowafundisha lissu Tz hatuna mambo hayo labda nyie na mme wenu Lissu π€£ππππ
Leta Tundu hilo uone ππππKwani yule Lugola si mwalimu wako vile?
Leta Tundu hilo uone ππππ
Keyboard warriors π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Eti mwanamume anamuambia mwanamume mwenzake nitumie picha yako ,si hatari hii? Au wewe ni mfuasi wa Nabii wako Tito?
Lete address yako vijana wakushughulikie usilete ushoga kwenye harakatiKeyboard warriors π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
ππππ Sasa nyie si ndo mmeruhusu tuchukue TunduLete address yako vijana wakushughulikie usilete ushoga kwenye harakati
Hata ujinga mwingine bwana.....yaani niache kufanya kazi zangu nikamsuppot Zitto na wenzake? Hawa wapuuzi wataishia hiv hivi kila uchaguzi na mwishowe wananchi tutaanza kuwasaka mitaani na kuwatungua mawe maana tunaanza kuwachoka sasa. Mdee naye alikuwa hivi hivi, yeye alikuwa kinara wa kupinga kila kitu bungeni na kufanya fujo ili akamatwe na kuandikwa magazetini na mtandaoni huku akisahau majukumu ya jimboni kwake. Muulize nini kilichomkuta.CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume.
Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.
Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.
Wamejificha waoga sana hawa π π πMakamanda vipi , leo imebuma tena ?
Wanajiita makamanda kumbe hata level ya mascout hawajafika bado πMakamanda vipi , leo imebuma tena ?
Kamati kuu na familia zao watakula kpna. Hakuna atakayetoka nje"Wajumbe wa kamati kuu watakaotaka kushiriki"
Yaani wao wana option ya kushiriki. Kwao ni lazima coz wao ndio wameibiwa na sio wananchi.
Familia zao zitafichw. Wengine washakata tucket kurudi ulaya.MAMA MKANYE MWANAO.
Natamani kuona familia ya Lissu Mbowe Kabwe Maalimusefu, kesgo wakiongoza maandamano.
Wananchi mkiona tu familia zao hazipo mjue mnatumika acheni upuuzi huo