Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Diaspora wawap awo mana me nipo England sjaskia iyo kitu na tuna umoja ambao hua tuna share info zote kupitia uongozi wetu na kama juzi tumekubaliana tuje home kwenye kuapishwa mh na mm kesho nasafiri kuja uko

Wacha kudanganya kijana kakojowe ukalale tuko kwenye harakati za ukombozi hapa
 
Sii kila dai ni haki unapaswa kujua hilo
Na si kila interest ni national interest zingine ni personal interest zinazowekwa kwenye kivuli cha taifa ili kupata support hao wote wapiga kelele walikua viongozi walifanya nn kikubwa mpa watu waingie barabaran

Mbona unajijibu mwenyewe mlamu, hizi ni dalili za awali za kuchanganyikiwa.
 
Mmekosa la kusema nyie 😂😂
Umeambiwa tuma picha wewe unaanza mambo yenu aliyowafundisha lissu Tz hatuna mambo hayo labda nyie na mme wenu Lissu 🤣😂😂😂😂
Kwani yule Lugola si mwalimu wako vile?
 
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.

Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume.

Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.

Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.


Hata ujinga mwingine bwana.....yaani niache kufanya kazi zangu nikamsuppot Zitto na wenzake? Hawa wapuuzi wataishia hiv hivi kila uchaguzi na mwishowe wananchi tutaanza kuwasaka mitaani na kuwatungua mawe maana tunaanza kuwachoka sasa. Mdee naye alikuwa hivi hivi, yeye alikuwa kinara wa kupinga kila kitu bungeni na kufanya fujo ili akamatwe na kuandikwa magazetini na mtandaoni huku akisahau majukumu ya jimboni kwake. Muulize nini kilichomkuta.
 
Wangejitahidi kuwahi mapema maana kuna tatizo la upatikanaji maji ya kuwasha😂😂
 
MAMA MKANYE MWANAO.
Natamani kuona familia ya Lissu Mbowe Kabwe Maalimusefu, kesgo wakiongoza maandamano.

Wananchi mkiona tu familia zao hazipo mjue mnatumika acheni upuuzi huo
Familia zao zitafichw. Wengine washakata tucket kurudi ulaya.
Hakuna kitu hapo
 
Back
Top Bottom