Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Hakuna cha propaganda tunawasikia wanavyoongea mitaani.Kiswahili na manenoo ya kifaransa

Jane dume zima linaomba picha ya wanaume wenzake eti linaandika bwana nitumie picha yako basi
Oya Dogo leta Tundu tumesubiri tangu saa mbili asubuhi ujue leta tundu fastaπŸ˜‚
 
Nichukue nafasi hii kusema kwamba kuandamana ni upungufu wa akili kwani huwezi wewe mtu ukatete ugali wa mtu bila kujiangalia mwenyewe.
Elimu ya Lumumba hiyo ?? sasa mnaogopa kitu gani hata mjilete hapa
 
Jane dume zima linaomba picha ya wanaume wenzake eti linaandika bwana nitumie picha yako basi
Halafu we dogo usije ukawa robot
Unaweza kuta nachati na robot hapa
Ila Tundu si alisema karuhusu Tundu liletwe hapa πŸ˜‚
 
Elimu ya Lumumba hiyo ?? sasa mnaogopa kitu gani hata mjilete hapa
Hatuogopi Kwani ni wajibu wetu kuwaeleza watanzania wasije kushawishiwa na wanasiasa wanaotaka kuwaingiza wananchi barabarani kwa ajili ya matumbo yao
 
Hatuogopi Kwani ni wajibu wetu kuwaeleza watanzania wasije kushawishiwa na wanasiasa wanaotaka kuwaingiza wananchi barabarani kwa ajili ya matumbo yao

Watanzania wa JF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnapotosha umma.
 
Mimi ninavyojua Wanajeshi wa Tanzania ni watanzania, sasa hiyo yako ya Waburundi naishangaa ndio maana nakwambia uthibitishe hapa

Sisi tulioko Zanzibar na Pemba tunajua hawa ni wahutu kwa lugha yao . Pia vitendo vyao vya kupita majumbani na kuvunja milango na kuiba
 
Yaani hata hamkufuata taratibu za kisheria mnataka kuandamana mnaakili.Kweli?? acheni akili za ajabu,mbona mmesoma na mnaakili timamu kabisa,inakuaje mnakosa kujiongoa ninyi na akili zenu,mnafikiri maisha ya hao wananchi mnaowashinikiza hatima ya maisha yao mnaijua??

Fanyeni jambo la maana,niseme jambo asiekubali kushindwa si mshindani mmeshindwa kwa haki.Mnaleta porojo zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…