Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Acheni propaganda za kijinga.Ni kwa sababu hakuna jsmaa yako aliyeuliwa na sskari wenu wa kukodi kutoka burundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni propaganda za kijinga.Ni kwa sababu hakuna jsmaa yako aliyeuliwa na sskari wenu wa kukodi kutoka burundi
Oya Dogo leta Tundu tumesubiri tangu saa mbili asubuhi ujue leta tundu fasta😂Hakuna cha propaganda tunawasikia wanavyoongea mitaani.Kiswahili na manenoo ya kifaransa
Jane dume zima linaomba picha ya wanaume wenzake eti linaandika bwana nitumie picha yako basi
. 🤣🤣🤣🤣. Vipi nyie MazumbubataMfano wa mtu mwenye akili huko ccm ni kipara? Ahahahaha haki nyie ni mazumbukuku
Elimu ya Lumumba hiyo ?? sasa mnaogopa kitu gani hata mjilete hapaNichukue nafasi hii kusema kwamba kuandamana ni upungufu wa akili kwani huwezi wewe mtu ukatete ugali wa mtu bila kujiangalia mwenyewe.
Wewe na elimu yenu ya kuandamana vipi huko mshapewa pHD 😂Elimu ya Lumumba hiyo ?? sasa mnaogopa kitu gani hata mjilete hapa
Huo ni Uongo, tuthibitishie hapaHakuna cha propaganda tunawasikia wanavyoongea mitaani.Kiswahili na maneno ya kifaransa
Halafu we dogo usije ukawa robotJane dume zima linaomba picha ya wanaume wenzake eti linaandika bwana nitumie picha yako basi
Vipi vile vifaru vilivyotekwa kule Mtwara mlishavileta ?+ Au nako mnasubiri majeshi ya Burundi yakavilete ??Wewe na elimu yenu ya kuandamana vipi huko mshapewa pHD 😂
Hawa chama cha Mbowe ni manyumbu kweli kweliWewe na elimu yenu ya kuandamana vipi huko mshapewa pHD 😂
Hivi vi CDM viongo sana sijui nan kawarogaHuo ni Uongo, tuthibitishie hapa
Hatuogopi Kwani ni wajibu wetu kuwaeleza watanzania wasije kushawishiwa na wanasiasa wanaotaka kuwaingiza wananchi barabarani kwa ajili ya matumbo yaoElimu ya Lumumba hiyo ?? sasa mnaogopa kitu gani hata mjilete hapa
Huo ni Uongo, tuthibitishie hapa
Hatuogopi Kwani ni wajibu wetu kuwaeleza watanzania wasije kushawishiwa na wanasiasa wanaotaka kuwaingiza wananchi barabarani kwa ajili ya matumbo yao
Mimi ninavyojua Wanajeshi wa Tanzania ni watanzania, sasa hiyo yako ya Waburundi naishangaa ndio maana nakwambia uthibitishe hapaNikuthibitishie kwani wewe umenithibitishia kuwa si majeshi ya Burundi ??
Hao ndo waliandamana mtandaoni na kuna wengine wa kule twitter 😂Watanzania wa JF 😂😂😂😂
Waje tu tuwatundue vizuriTundu karuhusu tundu litunduliwe sasa mbona wewe unagoma kuleta Tundu hapa ubungo au buguruni😂😂
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume.
Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.
Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.
Mimi ninavyojua Wanajeshi wa Tanzania ni watanzania, sasa hiyo yako ya Waburundi naishangaa ndio maana nakwambia uthibitishe hapa
Yaani hata hamkufuata taratibu za kisheria mnataka kuandamana mnaakili.Kweli?? acheni akili za ajabu,mbona mmesoma na mnaakili timamu kabisa,inakuaje mnakosa kujiongoa ninyi na akili zenu,mnafikiri maisha ya hao wananchi mnaowashinikiza hatima ya maisha yao mnaijua??CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.