Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Mchawi tu wewe, hayo manukta na makoma yasiyo na mpangilio peleka kwa wapuuzi wenzio wa Lumumba
. Usichikijua Ni kuwa CDM Kuna wasomi uchwara na CCM wamejaa wenye akili Nyingi
 
Nyerere angekuwa na mawazo duni haya Tanzania ingepata uhuru kweli. Jifungie ndani. Tutafanyakazi sis. Usikatishe watu tamaa.
Mimi siyo mtumwa, Uhuru gani unaousema wewe!

Watu kama wewe ndio Kunguru wenyewe.

Hapa mnaleta mashauzi kwamba mtaandamana, lakini huwezi kuthubutu
 
Kama unajua huwez kuizuia kwann unajisumbua kesho kuingia bara baran ukijua mtu Ana hizo weapon zote ulizo orodhesha hapo juu??

Kwaiyo lengo ni kujaribu?

Au kwa Sasa izo siraha na tahasisi hazito weza kufanya kazi??

Maamuzi ya kufanya mambo kwa hasira mala nyingi huwa na matokeo mabaya sana
 
Ndugu Zitto Kabwe,

Ndugu yangu, posho za ubunge ufaidi na familia yako, baada ya kukosa uniingize mimi barabarani nikale mkong'oto wa Polisi . Chukua familia yako itangulize mbele. Mimi najua uchaguzi umeisha kifuatacho ni kuchapa kazi.
 
Ukimtoa Mungu na wazazi wangu waliobaki wote hakuna hata mmoja wa kunishurutisha anachotaka yeye nikifanye kwa faida yake hata siku moja.
Hivyo Basi niwaombee Hawa watu wanao sadikika ni wanasiasa Kama wameshindwa kuamlisha Watoto wao wafuate wanachokitaka wao Basi wasitegemee chochote kutoka Kwangu Wala familia yangu Wala Rafiki zangu Wala ndugu zangu.

Kesho tuamuke tuchape kazi.
 
Kwa jinsi maisha yalivyomatamu afu mtu anaandamana kwaajili ya ujinga 😜🙉 bc
 
Kabwe, Mbowe na Lissu watakuwepo?
"Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano"
Wao option yao hiyo hapo, ila sisi makapuku ndo tunatakiwa kuwa kwenye mandamano! Nani wa hivyo ?!
 
Ndugu yangu posho za ubunge ufaidi na familia yako, baada ya kukosa uniingize mimi barabarani nikale mkong'oto wa Polisi . Chukua familia yako itangulize mbele. Mimi najua uchaguzi umeisha kifuatacho ni kuchapa kazi.
UMEPIGA MULE MULE
 
Mimi huwa sina upande kabisa. Sema maoni yangu yanajikuta yanasimama na upande mmoja. Mimi huwa nasimama na Tanzania .
 
The guilty are always afraid. Maandamano yameruhusiwa katika katiba yetu. Msi-panic. Kazi yenu ni kuua. Tayarisheni silaha tu.
Ndio Lakin maandamano yana utaratibu wake ndugu,
Ni razima uwe na kibari kwa ajili ya maandamano hayo...
Pia lazima uwe na sababu ya kufanya hayo maandamano na lazima pilisi wawe pamojananyi

Mtakapo andamana mta kwa maisha mambo mengi tuu kwa kujazana bara barani. Iyo ni hasara kwa sisi tusio na mpango WA maandamano

Kwaiyo hayo ni maandamano ya Shari sio Aman
 
Mkuu ingia barabarani kesho. Kwangu mimi maandamano ni kupotezeana muda tu. Wacha tukatafute riziki za kula familia zetu..
Acha mboga 7 wakaandamane[emoji23]
tuliobaki mtaji wa masikini ni nguvu zetu wenyewe
 
Yajayo yanafurahisha , wakati wa kufunga kampeni Kawe , watu wao walituletea taarifa katikati ya mkutano kwamba Tume imemuandalia Magufuli kura mil 12 , na haraka Lissu akauhabarisha umma , si umeona kura alizopata Magufuli ?
 
The guilty are afraid. Kama unaona ni vitisho, kauka tu. Mbona unakosa usingizi? Majizi wakubwa.
Povu linakutoka.

Nawatahadharisha ndugu zangu ukiwemo na wewe mwenyewe ambae najua huna jeuri hiyo ya kujiunga na maandamano, wasikubali kushikwa masikio na wenye uchu wa madaraka.

Hao watu wanawatumieni, wanataka kuwafanya chambo
 
Hahahhaha mkuu upo?
Naona mnachekelea baada ya kubaka uchaguzi.
Kma ulisoma law of diminishing returns then inapaswa uunge mkono maandamano ya kesho maana ndio yameshikilia hatma ya siasa zetu kwa miaka 20 ijayo.
Hahahah ulipanga uendelee kula mamilioni ya posho kwa miaka 20 ijayo??!! Pole sana, karibu mtaani tusake life
 
Ni upuuzi kushabikia raia wasio na hatia wakipigwa kisa kudai haki zao.

Mbona Lissu alipotua Dar watu walifanya maandamano ya amani na hakuna vurugu ilitokea? Kwani mkiacha waandamanaji wakusanyike kwa amani mnakosa nini?

Hili bara kweli lina laana
Basi Hamia bara lingine, tuache na bara letu Afrika, tuache na Tanzania yetu yenye baraka ya amani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…