Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,311
- 935
. Usichikijua Ni kuwa CDM Kuna wasomi uchwara na CCM wamejaa wenye akili NyingiMchawi tu wewe, hayo manukta na makoma yasiyo na mpangilio peleka kwa wapuuzi wenzio wa Lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Usichikijua Ni kuwa CDM Kuna wasomi uchwara na CCM wamejaa wenye akili NyingiMchawi tu wewe, hayo manukta na makoma yasiyo na mpangilio peleka kwa wapuuzi wenzio wa Lumumba
Mimi siyo mtumwa, Uhuru gani unaousema wewe!Nyerere angekuwa na mawazo duni haya Tanzania ingepata uhuru kweli. Jifungie ndani. Tutafanyakazi sis. Usikatishe watu tamaa.
Maandamano ni NCHI NZIMA!
You just got this whole thing wrong!
Eti DAR....fvck you all....it is the whole country!
Deal with it you motherfvckers!
#Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana
Sawa kamanda, nitakucheki kwenye tvNitakuwepo , na nitaanzia Buguruni sheli
Kama unajua huwez kuizuia kwann unajisumbua kesho kuingia bara baran ukijua mtu Ana hizo weapon zote ulizo orodhesha hapo juu??Swali la kijinga sana hili. Umelirudiarudia siku nzima. Hivi hauna kingine cha kuuliza? Mamko angeweza kumzuia dikteta mwenye vifaru na mabunduki hayo? Muulize hapo mamko kama angeweza kuzuia uchaguzi uliotayarishwa na dikteta ambaye ana jeshi, TISS, polisi, NEC, Masajili, TCRA, Mamlaka ya Anga... Jibu atakalokupa mamko ndilo jibu hilo.
CHADEMA na ACT—Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume
Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.
Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.
"Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano"Kabwe, Mbowe na Lissu watakuwepo?
UMEPIGA MULE MULENdugu yangu posho za ubunge ufaidi na familia yako, baada ya kukosa uniingize mimi barabarani nikale mkong'oto wa Polisi . Chukua familia yako itangulize mbele. Mimi najua uchaguzi umeisha kifuatacho ni kuchapa kazi.
Mimi huwa sina upande kabisa. Sema maoni yangu yanajikuta yanasimama na upande mmoja. Mimi huwa nasimama na Tanzania .Victorie mama huwa sikuelewi kabisa unasimama upande gani? Ila kwa hili la maandamano tuko pamoja hawa viongozi baada ya kuona hawatopata posho za bunge wanadai haki, binafsi ningependa kesho wawe pamoja na watoto na wake zao barabarani tofouti na hapo waache sinema za ajabu kwa watanzania...
Jana mchana nimekutana na viongozi hawa maeneo ya Rose Garden, sugu a.k.a jongwe kachoka naona haamini kama hatokalia kiti chekundu
Ndio Lakin maandamano yana utaratibu wake ndugu,The guilty are always afraid. Maandamano yameruhusiwa katika katiba yetu. Msi-panic. Kazi yenu ni kuua. Tayarisheni silaha tu.
Acha mboga 7 wakaandamane[emoji23]Mkuu ingia barabarani kesho. Kwangu mimi maandamano ni kupotezeana muda tu. Wacha tukatafute riziki za kula familia zetu..
Siyo lazima nikubaliane na unachodhani ni utumwa huku mimi sioni utumwa.The guilty are afraid. Kama unaona ni vitisho, kauka tu. Mbona unakosa usingizi? Majizi wakubwa.
Acha kelele wewe. Mmeshindwa kubadili Mwenyekiti wa Sacco's yenu ije kuwa Raisi?Kamwambie muuaji aliyewatuma kuwa tutakuwepo. Atayarishe silaha zake za mauaji.
Yajayo yanafurahisha , wakati wa kufunga kampeni Kawe , watu wao walituletea taarifa katikati ya mkutano kwamba Tume imemuandalia Magufuli kura mil 12 , na haraka Lissu akauhabarisha umma , si umeona kura alizopata Magufuli ?Nafurahi kusikia ushahidi upo, na ni matumaini yangu makubwa kwamba utatumika barabara wakati utakapohitajika.
Kuhusu hili la "... uchaguzi huu ulikuwa tayari na matokeo...", swali ni kwa nini mliruhusu uchafuzi huo uendelee huku mkiwa mnajua ulikuwa umeandaliwa?
Huoni kwamba fursa nzuri ilikuwa ni kuuzuia uchafuzi huo mara moja huko huko kwenye vituo vya kupigia kura? Ingekuwa rahisi zaidi na salama zaidi kama zoezi zima la kupiga kura lingesitishwa wakati mawakala wenu wanazuiwa kufanya kazi mliyowatuma waifanye.
Na hata hiyo mikoba ya kura zilizoingizwa, hapo hapo ndipo zingeonyeshwa kwa wananchi nchi nzima.
Kwa nini mlikubali uchaguzi uendelee? Hilo ndilo swali.
Povu linakutoka.The guilty are afraid. Kama unaona ni vitisho, kauka tu. Mbona unakosa usingizi? Majizi wakubwa.
Hahahah ulipanga uendelee kula mamilioni ya posho kwa miaka 20 ijayo??!! Pole sana, karibu mtaani tusake lifeHahahhaha mkuu upo?
Naona mnachekelea baada ya kubaka uchaguzi.
Kma ulisoma law of diminishing returns then inapaswa uunge mkono maandamano ya kesho maana ndio yameshikilia hatma ya siasa zetu kwa miaka 20 ijayo.
Acha kuwasemea watu we pimbi.
Basi Hamia bara lingine, tuache na bara letu Afrika, tuache na Tanzania yetu yenye baraka ya amani..Ni upuuzi kushabikia raia wasio na hatia wakipigwa kisa kudai haki zao.
Mbona Lissu alipotua Dar watu walifanya maandamano ya amani na hakuna vurugu ilitokea? Kwani mkiacha waandamanaji wakusanyike kwa amani mnakosa nini?
Hili bara kweli lina laana