Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Wanapima upepo, wanajua wananchi hawawapi sapoti.Walisema nchi nzima sasa mbona wametoa mwongoza wa Dar pekeyake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapima upepo, wanajua wananchi hawawapi sapoti.Walisema nchi nzima sasa mbona wametoa mwongoza wa Dar pekeyake?
Huyu ni tapeli wa kisiasa.Zitto umekiuka katiba ya ACT kwa kumuunga mgombea asiye mwana ACT
Tutaenda tunaojitambuaNdugu yangu posho za ubunge ufaidi na familia yako, baada ya kukosa uniingize mimi barabarani nikale mkong'oto wa polisi . Chukua familia yako itangulize mbele. Mi najua uchaguzi umeisha kifuatacho ni kuchapa kazi.
usha ogopa wewe na ukiogopa haki zako ume zizika na umoja ninguvu sikuzote ata mkoloni aliondoka kwa umoja wetu sasa tuta andamana kwasababu ni kwafaida yetu🙏🙏🙏Ndugu yangu posho za ubunge ufaidi na familia yako, baada ya kukosa uniingize mimi barabarani nikale mkong'oto wa polisi . Chukua familia yako itangulize mbele. Mi najua uchaguzi umeisha kifuatacho ni kuchapa kazi.
Sawa mkuu kila la heri. Usisahau selfie ya maandamano.Tutaenda tunaojitambua
Siendi kupiga selfieMaoni yangu maand
Sawa mkuu kila la heri. Usisahau selfie ya maandamano.
Siendi kupiga selfie
Mimi Naangalia Maslahi ya NchiSawa boss we nenda tuu. Kila mtu anaangalia maslahi yake.
ZZK anaongea kukwepa aibu. Anaonyesha kura zilipigwa kabla lakini hapeleki zionekani zilipigwa wapi na nani. Wenzale wamezichoma moto kuogopa kushtakiwa kwa sababu walizitengeneza wenyewe. Watanzania HATUDANGANYIKI. Zito pole sana. Wote tunasapoti polisi kuhakikisha tuko salama na vikundi ulivyoandaa tumesharipoti wakijaribi kesho andaa mazishi yao japo wewe hutashiriki.Maandamano ya mtandaoni labda.
Watanzania wanataka amani ndio maana wameipigia CCM
usha ogopa wewe na ukiogopa haki zako ume zizika na umoja ninguvu sikuzote ata mkoloni aliondoka kwa umoja wetu sasa tuta andamana kwasababu ni kwafaida yetu🙏🙏🙏
Nimekusoma kwa mara ya kwanza tokea...; pole rafiki!Nitakuwepo , na nitaanzia Buguruni sheli
Nani akipe kura chama kinacho vunja Sheria za utumishi wa imma?Maandamano ya mtandaoni labda.
Watanzania wanataka amani ndio maana wameipigia CCM
Sawa, wewe endelea kumuandalia Mumeo ChaiSawa nenda kapambanie nchi.
japo nipo siku zote , uchaguzi huu ulikuwa tayari na matokeo dunia yote inajua na mimi ninao ushahidi , kwahiyo hakuna haja ya kupeana poleNimekusoma kwa mara ya kwanza tokea...; pole rafiki!
Sawa, wewe endelea kumuandalia Mumeo Chai