Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vizazi vijavyo huu ni wakati wa kuwatengenezea njia. Maisha ni mafupi ,dunia ni mtihani tu . Kila mtu atakufa . Starehe zina mwisho.
Future kwa vizazi vijavyo
TutaandamanaSawa mkuu, Nyie andamaneni...
Yani nyie ndio makichaa kabisa em tulia uvae barakoa uko, mnatuhamasisha tuvuruge amani huku kwasababu hamtakuwepo hapa eeh, endelea kuota..TAARIFA MUHIMU SANA!!!
Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania!
Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴 na Denmark 🇩🇰) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...
Watanzania tuishio nchini hapa Ufaransa 🇫🇷 tunaandaa maandamano hayo kesho Jumatatu, November 2, 2020 nje ya Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Ufaransa 🇫🇷.
Maandamano yataanza saa 2 asubuhi na kumalizika saa 6 mchana!
Baada ya maandamano, WAZANZIBARI tuishio nchini hapa, kwa kuongozwa na Balozi wetu (BABU MZANZIBARI), tutazindua Ubalozi wetu (Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Ufaransa)... Ofisi za Ubalozi wetu zipo mitaa ya TROCADÉRO, karibu sana na mnara wa EIFFEL...
Kwa niaba ya Wazanzibari wote waishio nchini hapa Ufaransa, mimi, BABU MZANZIBARI, Balozi wa Zanzibar nchini Ufaransa, natumia fursa hii kuwakaribisha ndugu zetu Watanzania waishio nchini hapa, katika uzinduzi wa Ubalozi wetu!
Usafiri, kula, kunywa ni kwa gharama yangu mwenyewe!...
Kwa kauli moja, tumekubaliana kuwa hatuitambui serikali haramu ya John Pombe Joseph Magufuli! Hatuitambui serikali haramu ya Hussein Ali Hassan Mwinyi!
Rais wa Zanzibar tunayemtambua ni Maalim Seif Sharif Hamad aliyechaguliwa na wananchi wa Zanzibar!... Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunayemtambua ni Tundu Antipas Lissu, aliyechaguliwa na Watanzania!...
Mungu ibariki Zanzibar yenye mamlaka kamili, Mungu ibariki Tanzania!... 🙏🏾
👉🏾👉🏾👉🏾 Sambaza ujumbe huu umfikie kila Mtanzania mpenda haki!...👍🏾
Humu JF ni mitandao mingine ya kijamii, kaulimbiu ya wafuasi wenu ilikuwa "Lissu kaza kwa spana", kinyume chake ni ninyi. Sasa hayo maandamano yatakuwa yenu viongozi na familia zenu, labda mwalipe vibaka wa kuwasindikiza. Hao pia wakiona Jeshi la Polisi watayeyuka kama barafu kwenye joto.CHADEMA na ACT—Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume
Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.
Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.
Kesho atakuwa hana siyo?🤔🤔Mamko angeweza kumzuia dikteta mwenye vifaru na mabunduki hayo?
Vizuri mkuu.Ubungo kwenye daraja ambalo jiwe anawalaghai kuwa ni flyover. Na nitatumia fursa ya kesho kuvunja taa kadhaa pale.
. Naomba kesho ufe kweli usipokufa wewe Ni mnafiki au jitoe hadharani uuelezee umma ulivoona kura ikiibiwa mbele ya macho yakoHivi wewe ndugu una uhakika gani sijapiga kura?
Nimepiga kura na nimeona wizi mkubwa mbele ya macho yangu
With this convinction naandamana kesho kiroho safi....nitakae uwawa ni mimi,sitaki ushauri wako!
#Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana
Mkuu utaanzia pale buguruni au ubungo?The guilty are afraid. Wezi wanaogopa maandamano. Wameleta watu wao wa propaganda hapa JF. Wapenda haki wote twende tukawaonyeshe kuwa dhuluma iliyofanyika 28 Okt haikubaliki. CCM jifungieni katika vyumba vyenu. Hamlazimishwi kuandamana.
Mtu amekabidhiwa hati ya ushindi DODOMA, Anaenda kuapishwa DODOMA, Wao wanaandamana DAR 😂Ni dar ? Mshafeli
. Ile unajamba mwenyewe afu unaziba pua 🤣🤣🤣japo nipo siku zote , uchaguzi huu ulikuwa tayari na matokeo dunia yote inajua na mimi ninao ushahidi , kwahiyo hakuna haja ya kupeana pole
Usi sahau kupiga snap utuwekee hapa tukuone kabla ya kuvujika mguu ulikuwa kuwajeHivi wewe ndugu una uhakika gani sijapiga kura?
Nimepiga kura na nimeona wizi mkubwa mbele ya macho yangu
With this convinction naandamana kesho kiroho safi....nitakae uwawa ni mimi,sitaki ushauri wako!
#Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana #Nitaandamana