Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

Yaani tuongozwe na kichaa? Hivi ukimtazama tu Lissu usoni, huoni kama kuna fyuzi moja imeungua.
Kama Lissu ni kichaa aliyesema atampelekea mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo ni nani???
 
Maandamano ndio lugha pekee inayoeleweka na viongozi wanaonajisi box la kura. Membe ataenda kudai kwa hiyo diplomasia yake kwa hizo kura zake atakazoporwa kupitia ACT.
 
Mataga kazini. Na mtataga mwaka huu. Go Lissu Go Lissu.

Watu lazima mpoteane mwaka huu. Na Lissu ndo Raisi wenu mwaka huu, mpende msipende.
Kweli mzee wa MIGA lazima awe Rais tuwalipe ACCACIA Mabilioni ya dola zao.
 
Kama Lissu ni kichaa aliyesema atampelekea mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo ni nani???
Yaani mtu aongee kwa masikhara na utani, nyinyi mjifanye mnachukulia serious. Hivi nani anaeweza kumuoza mama yake? Vitu vingine muwe mnafikiria kabla ya kuongea.
 
Yaani mtu aongee kwa masikhara na utani, nyinyi mjifanye mnachukulia serious. Hivi nani anaeweza kumuoza mama yake? Vitu vingine muwe mnafikiria kabla ya kuongea.
Wewe mwenyewe unakili kuwa Hakuna anayeweza kumuoza Mama yake mzazi. Sasa nisaidie umjibie mwenzako hapo juu aliyesema Lissu ni kichaa....

Najua hakunaga utani kwa kusema unamtafutia Mama yako mzazi mwanaume, Sasa aliyesema tena mchana kweupe kuwa atampelekea Mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo huyo ni nani????
 
Yaani mtu aongee kwa masikhara na utani, nyinyi mjifanye mnachukulia serious. Hivi nani anaeweza kumuoza mama yake? Vitu vingine muwe mnafikiria kabla ya kuongea.
Aliyesema ndio anaweza, kwani ww n msemaji wake unakanusha??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wengine akili zenu banaa
 
Mshikamano tulionao ni kumsimamisha Tundu Lissu hakuna cha Membe wala Nyarandu.
Tundu Lissu for Presidency Period!!
 
Lissu awe mgombea huyo Nyalandu awe Mgombea mwenza. Kwishaa
 
Hivi mbona mnapenda kujifikirisha vitu ambavyo havifikirishi. Eti Lissu atadai ushindi wake, huo ushindi kwanza ataupatia wapi? hawezi kupata hata asilimia 10 ya kura amejitahidi sana asilimia 2.
Haahaa ombea achaguliwe tu na wajumbe utaona.lissu na magu patawaka moto
 
What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
HII NI BATILI MAANA SIONI KUTOKA KANDA ZA KASKAZINI NA JUU YA KULIKUU, HUU UCHAGUZI NI BURE KABISA. KWANIN KUSI NA KATI TUU, INAMAANA SISI WA KASKAZINI TUMEKUWA MANYUMBU AMBAYO HATUWEZI KUONGOZA INJI HII??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…