Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Why Nyalandu? What has he done kwa Taifa
Huyu mtu hata Morogoro hapo tu wananchi hawamjui
 
Wana Chadema wengi hawawezi kuwa na imani na Membe then wakose imani na Liu wewe utakuwa unazunumzia watu wengine tofauti na wana Chadema!
 
Kweli kabisa, ndio maana licha ya ACT kuandika barua kibao na kubembeleza hadharani, Chadema hawaongei chochote kuhusu hio fake coalition.
 
Tulia wewe sindano ikuingie vyema kusudi upone. Lissu ndiye mgombea na mshindi wa urais
 
Ndiyo plan yao maana ACT wanajua kuwa ni mtoto wao hivyo kurahisisha hujuma kwenye upinzani.
Kwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
 
Haiwahusu nyinyi mataga wa lumumba sisi kama cdm tuna uwezo wa kupambana na hali zetu hadi kuing'oa ccm.
 
Kina petro magoti hapo lumumba mnaweweseka tu.
 
Upuuzi mtupu.
 
Haikuhusu wewe lumumba, ongelea mipango yenu jinsi mlivyo jipanga kuwa chama cha upinzani ili muanze kushindana na kina Lyatonga kugombea wenye viti wa vitongoji.
Anatakiwa mtu ambaye ataweza kutetea ushindi wake kwa uwezo wa kidiplomasia alio nao na sio kubakia kulalama
nimeibiwa nimeibiwa nimeibiwa.
 
Hari ya wapinzani kuliko ccm iliyo tawala miaka 60 bila chochote cha kujivunia
Bongo wanasiasa wa upinzani karibu wote ni waigizaji tu. Kilele nyiiingi, matendo sifuri.
 
Hakuna kichaa wa kuwaunga mkono ccm b
 
Anatakiwa mtu ambaye ataweza kutetea ushindi wake kwa uwezo wa kidiplomasia alio nao na sio kubakia kulalama
nimeibiwa nimeibiwa nimeibiwa.
Mchukueni nyie akatetee ushindi wenu. Chadema ni Lisu.
 
Naona sindano inafanya kazi yake
Nani anayeweza kuutetea ushindi maana watanzania pia wanachoka sana kusimama mistari mirefu ya kupiga kura bila tumaini lao kutimia WHO CAN PROTECTS ITS WIN diplomatically without chaos hao wengine wataona fujo ndio solutions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…