Naona wengi wanapendekeza Membe au Nyalandu, kwa nini sio Lisu! Sijui, Ipo sababu bila shaka.
What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Duh..SASA ndugu mbona hivyo tena?! SASA kabudi ni waziri mkuu !? Soma ata habari Tafadhali..natambua sio kila aliyeko kwenye forum hii ana uelewa wa current issues lakini nadhani Kwa swali lako nahisi kuna uzembe fulani katika nchi hii.Kwahiyo Kabuudi ni mbunge wa jimbo gani?
What if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Haikusaidii kituDuh..SASA ndugu mbona hivyo tena?! SASA kabudi ni waziri mkuu !? Soma ata habari Tafadhali..natambua sio kila aliyeko kwenye forum hii ana uelewa wa current issues lakini nadhani Kwa swali lako nahisi kuna uzembe fulani katika nchi hii.
"Tusifanye kazi ya uaguzi na kupiga ramli"- Tundu A Lissu, unachoongea ni kurasimisha ramli yako , eti akishindwa atachochea maandamano, ni lini alishawahi kuchochea maandamano, hiyo technology ya time travelling ya kujua atafanya hivyo akishindwa umeitoa wapi??Membe sio Lowassa, Lissu atakaposhinda uelewa wake wa kidiplomasia ya nje ya kudai ushindi wake hauwezi kuifikia diplomasia ya membe kimataifa katika kuidai haki yake uzi ni mwepesi lakini tuuchambue kwa akili nyingi kidogo sana sana Lissu atakapodhania amepokwa ushindi ataamrisha maandamano which is not good way badala ya kusolves kimataifa zaidi bila ya kuumiza wananchi.
SASA chief kama hujui waziri mkuu ni Nani.. seriously Mie nakusaidia vipi?! Au hujasoma ili bandiko linahusu nini?!.. okay naomba ni assume ni kweli hujui kitu..ni hivi; mleta mada kashauri MTU mwingine agombee urais Membe/Nyalandu alafu Tundu Lissu apewe nafasi ya WAZIRI MKUU. hopefully mpaka hapo umepata mwanga wa kinachoendelea na kama pia hujui namna waziri mkuu anapatikana katika Tanzania Tafadhali usisite kuuliza, sitachoka kukujuza ili twende sawa.Haikusaidii kitu
Haisaidii kituSASA chief kama hujui waziri mkuu ni Nani.. seriously Mie nakusaidia vipi?! Au hujasoma ili bandiko linahusu nini?!.. okay naomba ni assume ni kweli hujui kitu..ni hivi; mleta mada kashauri MTU mwingine agombee urais Membe/Nyalandu alafu Tundu Lissu apewe nafasi ya WAZIRI MKUU. hopefully mpaka hapo umepata mwanga wa kinachoendelea na kama pia hujui namna waziri mkuu anapatikana katika Tanzania Tafadhali usisite kuuliza, sitachoka kukujuza ili twende sawa.
Nimekuamini ,Mwanzo nilihisi uko misinformed kumbe ni kwamba tumefika kwenye ukuta wa miamba na haiwezi kusaidia kitu.Haisaidii kitu
Umeandika upumbavu mtupu, nendeni mkamfanye Membe rais wa kijiji chenuUmoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
Kweli aisee. Tumeshuhudia idad kubwa ya mamluki wakiunga juhudi na kurudi CCMKwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
Mkuu wajua kuwa hakuna tume huruIla sie tuanze kujiandaa kuimba kale kawimbo maarufu ka "...tumeibiwaaa"
Nyalandu bado Sana, tuwe wakweli tuuWhat if iwe vise versa, Lisu for President, Nyalandu Vice President and Membe - PM?
Matendo gani?Bongo wanasiasa wa upinzani karibu wote ni waigizaji tu. Kilele nyiiingi, matendo sifuri.
Waungane na ccm?? Hujui most of them ni vya ccm?Waungane, waache tamaa. Nilitegemea mpaka sasa wawe wamefikia makubaliano ya kumsimika mgombea mmoja kwenye ngazi zote kuanzia urais mpaka udiwani.
Hao wapendekezaji ni Wana Lumumba.. wanataka mgombea dhaifu wa upinzaniNaona wengi wanapendekeza Membe au Nyalandu, kwa nini sio Lisu! Sijui, Ipo sababu bila shaka.
Kwa hiyo akigombea membe ndio tume itakuwa huru?Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.
umetuwa? walio kutuma kawaambie sijawakutaUmoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana na kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Wana CHADEMA wengi wana imani na Membe tatizo ni bwana huyu asipoipata hii nafasi kwa wakati huu hatakawia kufanya kama Ndg. Slaa alivyofanya njia panda ndio hii.