CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?

Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.

Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.

We need transparency
 
Utahangaika sana mwaka huu, Chadema hii ni next level, uzi wa kumi huu tangu asubuhi na zote ni takataka tu.
 
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?

Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.

Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.

We need transparency
Waulize wahusika si kila jambo viongoz wa chadema
 
Na Mandela alilelewa na nani?
Kule mtendeli wale watu wanalelewa na nani? Acha kutujazia kinyesi Cha mama hapa?
Kwahyo akina Hilda na pambalu ni mfano wa Mandela aisee kwahyo na Nyerere alilelewa na watu mfano wa maria Sarungi hebu kuweni na akili basi
 
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?

Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.

Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.

We need transparency
Kwani vyombo vya ulinzi na usalama vimekufa?
Waulize TISS na polisi
 
Back
Top Bottom