CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?

Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.

Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.

We need transparency
Lipo andiko linasema tazameni ndege wa angani hawalimi,hawavuni na wala hawapandi,ila wanakula na kusaza,je vipi ninyi wanadamu mnao mwamini Mungu?
 
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?

Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.

Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.

We need transparency
Wanakula nzige na asali
 
wewe unalishwa na nani
 
Nyie mnalishwa na nani mnakesha jf kujibu kila new topic?
 
We jamaa mbona kama Anko Tii
 
Vipi ulikuwa unataka uwape support na wewe?
 
Then what is the difference between?
CCM fed by Beberu
Chadema fed by beberu!

Hapo jiulize tofauti ipi?
Sasa hivi mko kila kona mnaomba beberu aruhusu pesa na misaada.

Tofauti kubwa:
CCM mnapigania matumbo yenu
Chadema tunaona wazi wanapigania watu
 
This is unbelievable!

Katika maisha, afadhali kukosa prestigious material things kuliko kukosa akili. Kukosa akili is a ginormous burden!
 
Sasa si ungepita tu mbona ulichokiandika hakihusiani na mada.
Unapoteza muda kwasababu huna akili
 
Then what is the difference between?
CCM fed by Beberu
Chadema fed by beberu!

Hapo jiulize tofauti ipi?
Sasa hivi mko kila kona mnaomba beberu aruhusu pesa na misaada.

Tofauti kubwa:
CCM mnapigania matumbo yenu
Chadema tunaona wazi wanapigania watu
Akina pambalu wanaishi kwa Hela za mabeberu
 
Back
Top Bottom