CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

sawa, wanalishwa na Maria Sarungi.
vipi Maria ameshakuomba msaada kuwa ameshindwa kuwahudumia?

●pilipili usiyoila inakuwashia nini?
 
Itakusaidia nini ukishajua?
That will never put on your table,pambana na hali yako ngumu ya uchumi iliyosababishwa na serikali yako fisadi
 
sawa, wanalishwa na Maria Sarungi.
vipi Maria ameshakuomba msaada kuwa ameshindwa kuwahudumia?

●pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Yani watu waolewe Kenya halafu unaniambia mambo ya pilipili ya shamba
 
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?

Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.

Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.

We need transparency
CCM tunakazi kubwa ya kujenga imani ya kizarendo kwa wananchi.
Kazi ya kufuatilia maisha binafsi ya hao dada zetu tuwaachie paparazi
 
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?

Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.

Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.

We need transparency
You must be an illicit and not instinct desire.
 
Nani anayekulisha wewe hapa Dar, umeacha shamba la viazi huko kwenu umekimbilia Dar lakini unakula na kulala, nani anakulisha hapa Dar.
 
Back
Top Bottom