Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Muulize atakuambia. Nimekupa tu dondoo.Kwamba wanalishwa na misukule

Ukiwa chawa wa mama huwezi kujua hata watu wanakulaje.Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.
Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.
We need transparency
Kuna sheria za kimataifa za kiutu zinazowalinda watu walio hatarini hasa wanaojishughulisha na masuala ya kisiasa ama uanaharakati.Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.
Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.
We need transparency
Who don't you stop visiting my postMinding your own business is a full time job. Stay employed.
Kwahyo hzo international law ndo zipo chini ya Maria Sarungi?Kuna sheria za kimataifa za kiutu zinazowalinda watu walio hatarini hasa wanaojishughulisha na masuala ya kisiasa ama uanaharakati.
Hata wewe ukiwa mwanaharakati unayefanya kazi zako za uanaharakati lakini wahuni wakawa wanakuwinda aidha kukuteka ama hata kukutishia kukuuwa basi una haki ya kuomba asylum kwenye nchi yoyote na jumuiya ya kimataifa itakulinda.
Kwanini unadhani wanalishwa?Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.
Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.
We need transparency
Walikuomba wanashida?Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.
Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.
We need transparency
Tunajua wanalelewa na mabeberuWalikuomba wanashida?
Wanalishwa na beberu kupitia Maria SarungiKwanini unadhani wanalishwa?
Huna akiliWanalishwa na beberu kupitia Maria Sarungi
Mtu mzima utalelewaje kama kukuHuna akili
Si uachane nazo tuHii kazi uliyopewa inakutesa sanaa..
Mbona kazi ni nyingi Sana huku mtaani unaweza kufanya, Toka asubuhi ushapost mada zaidi ya 20 alafu zote ni utumbo tu
Na wao pia wanalimaMimi nalima
Wanalima shamba la maria SarungiNa wao pia wanalima
Mkuu batani ya ku ignore mtu huijui?Nasafisha uchafu.