Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni vema tujue wanaishije huko Kenya na kama Kuna mfuko wa beberu basi wekeni wazi tujue.
Jamani si kawaida kwa mtu wa kawaida tu ukakimbilia Kenya au nchi yyte bila kuwa na stable source of income, hawa wenzetu viongozi wa chadema Tunaomba wajitokeze wasema ni nani anayewalea watu wao huko Kenya. Au ni organization Gani ya beberu inawalea huko Kenya.
We need transparency