Kazi mojawapo ya polisi ni kuzuia uhalifu usitokee ndio maana huwa wanafanya patrol Kazi yao sio tu ya kukamata wahalifu kuwa wasubiri jambazi avamie duka kwanza ili wamkamate with evedence!!!Unaongea mimavi, uharo na ujinga.
Kama unachosema ni kweli Kwanini Polisi hawakungojea mkutano huu uanze ndipo wamkamate Lissu na hao Raia wa kigeni with vivid evidence?
Tafuta jamaa yenu akutumie picha uone nini kinaendelea ndipo urudi kuedit hili bandiko.Anazungumzia watanzania wanaomsapoti Lissu mbona hawaendi kumpa sapoti kamanda wao?
Sheria ipi imevunjwa? wewe kibaraka wa cyprian Musiba na polepole elezea Sheria ipi imevunjwa? Lisu kafanya mkutano wa kampeni leo? hamtaki Lisu atembelee hata rafiki zake?Wakiweka vikwazo kama hatuwapi au kuwadhamini ARVs ni wewe ndo utakaye umia sio ccm, mwambieni huyo kibaraka afuate sheria na makubaliano waliyokuwa wamefikiana ya kisitisha kwa 7days so asijjifanye mjuaji.
Mkusanyiko usio halali mkiswekwa ndani kipindi hiki chadema hawana ruzuku za kulipa mawakili utaozea ndani wewe binafsi na kuhangaika na familia yako na utatoka baada ya Raisi kuapishwa ukiwa na bahatiKuna tetesi kuwa wananchi kadhaa wameanza kuelekea eneo ambalo mgombea wa nafasi ya urais kupitia chadema Tundu Antipas Lissu amezuiliwa kuendelea na safari yake ya kufanya kazi za chama mkoani pwani.
Mdau aliye eneo la tukio tunaomba updates zikiwepo picha ili walio mbali tupate kuwaunga mkono kwa njia moja au nyingine.
Una tatizo la Epidomea
At your stupidity level, you think Europe, Asia and USA are masters? Go back to school.
Which idiot is professing this non sense?
Mnaanza saa ngapi kutoka?Bado hapo jiandae kuja kulia kwa kelele zaidi
Hii kauli yako inawapa watu nguvu na ndiyo wanamiminika kwa wingi muda huu.Mkusanyiko usio halali mkiswekwa ndani kipindi hiki chadema hawana ruzuku za kulipa mawakili utaozea ndani wewe binafsi na kuhangaika na familia yako na utatoka baada ya Raisi kuapishwa ukiwa na bahati
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu tena kilaza wa kutupwa nani kakuambia una Akili? Kama huko CCM wewe ndiyo mwenye Akili wanaokutuma watakuwa wehu watupu, Nchi ipo macho kivipi? Kwani Lisu ana Siri hana Siri ratiba yake ya kila siku ipo wazi hana mikutano ya siasa yupo busy kutembelea matawi ya chademaUngese ndio huo unaoongea wewe unafikiri wote ni wajinga, mwache alale hapo barabarani. Watanzania sio wajinga. Nenda kamsaidie sasa, unafikiri mipango yake haijulikani? Nchi ipo macho, ulitaka waje wakutafute wewe wakupe sababu?
If you knew the authority is fake, why did you participate in the first place?
Asubuhi njema inakaribiaYour father and mother are idiots.
Lowassa unamuona alikuwa na mvuto?Mnaanza saa ngapi kutoka?
Ingekuwa ni kipindi cha Lowassa au Slaa saivi tungekua tunaongea mambo mengine, huyu mgombea wenu hana mvuto na huu ndio ukweli mchungu.
Hana kismati
Kwa hiyo na wewe hujitaki, maana ni kibaraka wa MuniombeeLisu atadhibitiwa kila anapokanyaga! Hatutaki vibaraka hapa nchini
Kwenye soko anaenda kukagua kitu gani?
Lisu yeye ni nani aende kukagua soko?
Kwahiyo Lisu alikuwa anaenda kufanya nini sasa? Ana bidhaa anauza pale?Sokoni ni sehemu huru ya raia kwenda, labda uniambie kwenda sokoni kuna masharti siku hizi.
Hizi hasira kazimalizie pale alipo Lisu kwa kulala usiku mzima hapo,Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu tena kilaza wa kutupwa nani kakuambia una Akili? Kama huko CCM wewe ndiyo mwenye Akili wanaokutuma watakuwa wehu watupu, Nchi ipo macho kivipi? Kwani Lisu ana Siri hana Siri ratiba yake ya kila siku ipo wazi hana mikutano ya siasa yupo busy kutembelea matawi ya chadema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa hiyo mnaenda wapi sasa?Hatimae polisi wameondoka hapa kibamba
hakuna amani bila haki tuna uvumilivu na mwisho ni oct28,Kura zote kwa LisuLissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.