YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kazi mojawapo ya polisi ni kuzuia uhalifu usitokee ndio maana huwa wanafanya patrol Kazi yao sio tu ya kukamata wahalifu kuwa wasubiri jambazi avamie duka kwanza ili wamkamate with evedence!!!Unaongea mimavi, uharo na ujinga.
Kama unachosema ni kweli Kwanini Polisi hawakungojea mkutano huu uanze ndipo wamkamate Lissu na hao Raia wa kigeni with vivid evidence?
Prevention is better than cure
Hongera Polisi kwa kazi nzuri ya kuwawahi kuzuia agenda yao mbaya kwa nchi ambayo walitaka kwenda kufanya kwa siri kwenye kikao chao cha ndani cha siri chenye agenda za kigaidi za kuvuruga uchaguzi mkuu