CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Unaongea mimavi, uharo na ujinga.
Kama unachosema ni kweli Kwanini Polisi hawakungojea mkutano huu uanze ndipo wamkamate Lissu na hao Raia wa kigeni with vivid evidence?
Kazi mojawapo ya polisi ni kuzuia uhalifu usitokee ndio maana huwa wanafanya patrol Kazi yao sio tu ya kukamata wahalifu kuwa wasubiri jambazi avamie duka kwanza ili wamkamate with evedence!!!

Prevention is better than cure

Hongera Polisi kwa kazi nzuri ya kuwawahi kuzuia agenda yao mbaya kwa nchi ambayo walitaka kwenda kufanya kwa siri kwenye kikao chao cha ndani cha siri chenye agenda za kigaidi za kuvuruga uchaguzi mkuu
 
Wakiweka vikwazo kama hatuwapi au kuwadhamini ARVs ni wewe ndo utakaye umia sio ccm, mwambieni huyo kibaraka afuate sheria na makubaliano waliyokuwa wamefikiana ya kisitisha kwa 7days so asijjifanye mjuaji.
Sheria ipi imevunjwa? wewe kibaraka wa cyprian Musiba na polepole elezea Sheria ipi imevunjwa? Lisu kafanya mkutano wa kampeni leo? hamtaki Lisu atembelee hata rafiki zake?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna tetesi kuwa wananchi kadhaa wameanza kuelekea eneo ambalo mgombea wa nafasi ya urais kupitia chadema Tundu Antipas Lissu amezuiliwa kuendelea na safari yake ya kufanya kazi za chama mkoani pwani.

Mdau aliye eneo la tukio tunaomba updates zikiwepo picha ili walio mbali tupate kuwaunga mkono kwa njia moja au nyingine.
Mkusanyiko usio halali mkiswekwa ndani kipindi hiki chadema hawana ruzuku za kulipa mawakili utaozea ndani wewe binafsi na kuhangaika na familia yako na utatoka baada ya Raisi kuapishwa ukiwa na bahati
 
Bado hapo jiandae kuja kulia kwa kelele zaidi
Mnaanza saa ngapi kutoka?
Ingekuwa ni kipindi cha Lowassa au Slaa saivi tungekua tunaongea mambo mengine, huyu mgombea wenu hana mvuto na huu ndio ukweli mchungu.

Hana kismati
 
Mkusanyiko usio halali mkiswekwa ndani kipindi hiki chadema hawana ruzuku za kulipa mawakili utaozea ndani wewe binafsi na kuhangaika na familia yako na utatoka baada ya Raisi kuapishwa ukiwa na bahati
Hii kauli yako inawapa watu nguvu na ndiyo wanamiminika kwa wingi muda huu.
 
Ungese ndio huo unaoongea wewe unafikiri wote ni wajinga, mwache alale hapo barabarani. Watanzania sio wajinga. Nenda kamsaidie sasa, unafikiri mipango yake haijulikani? Nchi ipo macho, ulitaka waje wakutafute wewe wakupe sababu?

If you knew the authority is fake, why did you participate in the first place?
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu tena kilaza wa kutupwa nani kakuambia una Akili? Kama huko CCM wewe ndiyo mwenye Akili wanaokutuma watakuwa wehu watupu, Nchi ipo macho kivipi? Kwani Lisu ana Siri hana Siri ratiba yake ya kila siku ipo wazi hana mikutano ya siasa yupo busy kutembelea matawi ya chadema
 
Your father and mother are idiots.
Asubuhi njema inakaribia
Hata Mariam na Maria Magdalena walipitia kipindi kigumu siku Yesu alipokamatwa lakini Jumapili ya Pasaka ilikuwa ni siku ya Furaha sana kwao kwani Waliyemfuata alikuwa Amefufuka

Asubuhi Njema Yaja
Mioyo isiwe migumu Tusichoke Karibu Tunaimaliza Safari

Haya hayana budi kutokea ili tupate kukombolewa
 
Mnaanza saa ngapi kutoka?
Ingekuwa ni kipindi cha Lowassa au Slaa saivi tungekua tunaongea mambo mengine, huyu mgombea wenu hana mvuto na huu ndio ukweli mchungu.

Hana kismati
Lowassa unamuona alikuwa na mvuto?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwenye soko anaenda kukagua kitu gani?

Lisu yeye ni nani aende kukagua soko?

Sokoni ni sehemu huru ya raia kwenda, labda uniambie kwenda sokoni kuna masharti siku hizi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sokoni ni sehemu huru ya raia kwenda, labda uniambie kwenda sokoni kuna masharti siku hizi.
Kwahiyo Lisu alikuwa anaenda kufanya nini sasa? Ana bidhaa anauza pale?
 
Wameondoka bhana
1602003674176.jpeg
 
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu tena kilaza wa kutupwa nani kakuambia una Akili? Kama huko CCM wewe ndiyo mwenye Akili wanaokutuma watakuwa wehu watupu, Nchi ipo macho kivipi? Kwani Lisu ana Siri hana Siri ratiba yake ya kila siku ipo wazi hana mikutano ya siasa yupo busy kutembelea matawi ya chadema
Hizi hasira kazimalizie pale alipo Lisu kwa kulala usiku mzima hapo,

Huku unapoteza muda
 
Back
Top Bottom