CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Kuna ufisadi hapo na kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya kifisadi ya CCM iliyojaa vitendo haramu ya kishetani, mmemzuia kwenda sokoni kwa kuwa kuna wizi ufisadi hapo mmeogopa ataibua wizi wenu wote
Si kila siku anasema hayo ni maendeleo ya vitu?
 
Ujinga wa viongozi wetu Ni kutumia jeshi la polisi kutuua halafu waje na kisingizio Cha kufuta uchaguzi
 
Mbowe pole sana, uliyajua haya lakini baada ya maongezi ya siku tatu ukafikiri mmekubaliana, kumbe kinyume chake na utafahamu uzito au faida ya haya matukio mara baada ya jamaa kuapishwa.

Hawataki upoteze ubunge wako Hai, lakini haya mazingira yatawalazimiza wahakikishe unapoteza ubunge wako Hai.

Kuanzia leo naanza kuhesabu Chadema kama Azaki itapotea kwenye kukaa kiti cha mbele kwenye siasa.

Upinzani sio lazima iwe Chadema, Ulikuwepo upinzani hata wakati wa Nyerere na utaendelea kuwepo.

Maamuzi ya Jazba yatafanya Muda uliopoteza, Pesa ulizo poteza, Madhila uliokutanana nayo hayato kuwa na kifuta machozi.

Chama ni Nyumba ambayo wenye kuamini jambo moja hukutana na kubadilishana mawazo, nyumba ina kwenda kuvunjika kwa faida ya muda Mfupi ya mtu mmoja, ambae atatuacha,wakati tayari tumepoteza heshima na matumaini.

Weka akili sawa, baada ya uchaguzi nchi na maisha yataendelea. Lakini wengi wetu kupoteza uchaguzi huu tutapoteza mengi zaidi ya uchaguzi kwa hali inavyo endelea.

FREEMAN NAKUTAKIA SIKU NJEMA.
 
Ujinga wa viongozi wetu Ni kutumia jeshi la polisi kutuua halafu waje na kisingizio Cha kufuta uchaguzi
Kuna ufisadi kwenye lile soko Tenda nyingi ni za wasukuma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Majengo hayo yana wasimamizi wake chini ya halmashauri husika,! Yeye ni nani?

Kwa hiyo alienda kuangalia kama wamejnga vizuri kama ilivyoagizwa ama?
Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Unaelewa kuwa ni haki ya wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali ya wananchi inayosimamiwa na serekali inayotokana na kodi za wananchi?
 
Umejibu swali langu?Hilo ndiyo jibu la swali nililokuuliza?Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?
Wapo watu wamepewa jukumu la kusimamia ujenzi wa hilo soko. Magufuli hajampa Tundu Lissu hilo jukumu. Ni kweli unavyosema kuwa limejengwa kwa kodi za wananchi, lakini linasimamiwa na serikali ya Magufuli
 
Wapo watu wamepewa jukumu la kusimamia ujenzi wa hilo soko. Magufuli hajampa Tundu Lissu hilo jukumu. Ni kweli unavyosema kuwa limejengwa kwa kodi za wananchi, lakini linasimamiwa na serikali ya Magufuli
Unaelewa kuwa ni haki ya wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali ya wananchi inayosimamiwa na serekali inayotokana na kodi za wananchi?
 
Mbowe pole sana, uliyajua haya lakini baada ya maongezi ya siku tatu ukafikiri mmekubaliana, kumbe kinyume chake na utafahamu uzito au faisa ya haya matukio mara baada ya jamaa kuapishwa...
Unadhani Lisu kaenda huko bila kumuaga mbowe? Lisu kila analofanya wanakubaliana na mbowe isitoshe Lisu hana mipaka ya kutembea kawaida pasipo kufanya mikutano, acha kutengeneza long story isiyo na tija.
 
Wapo watu wamepewa jukumu la kusimamia ujenzi wa hilo soko. Magufuli hajampa Tundu Lissu hilo jukumu. Ni kweli unavyosema kuwa limejengwa kwa kodi za wananchi, lakini linasimamiwa na serikali ya Magufuli
Waliopewa jukumu wameiba pesa na wewe ni mnufaika wa huo wizi ndiyo maana hutaki Lisu afike hapo kwa hofu ya kuumbuka juu ya ufisadi wenu mkubwa, Serikali ipi inasimamia ujenzi wenye ufisadi?
 
Eti mtu kajenga sgr, mahospitali, flyover, kaongeza mishahara kwq watumishi, kaiweka Tz kuwa Nchi ya uchumi wa kati, kajenga viwanda kila mkoa zaidi ya 2000, lakini Bado n jogaaa linamuogoka mtu ambaye hajajenga hata kibanda! Mgombe wa hovyoo, ccm ya hovyoo kuwahi kutokea katika dhama zote za uchaguzi, huyu hata angegombea na mbuzi Bora nipigie mbuzi Kira kuliko ccm!
 
Naona tuahirishe uchaguzi mpaka hapo mambo yatakapo kaa vizuri tuanze fresh kabisa..ie mpya kabisa na huru NEC. Serikali za mitaa...udiwani..ubunge..urais
 
Kwenye soko kuna ufisadi mkubwa ndiyo maana wameogopa Lisu akifika wataumbuka
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo soko kajenga yeye?

Watu wametulia kwenye soko limejengwa chini ya jemedari Magu, wanajifanyia biashara zao yeye anaenda kukagua?
Anakagua kitu gani kwanza kawa msimamizi wa ujenzi?
Au yeye ni mkuu wa wilaya?
Vipi gari lenu lipo gereji wapi🤣🤣
 
Tundu Lissu amezuiliwa kufanya kampeni. Anatakiwa kuheshimu maamuzi ya kamati ya maadili.
Tundu hafanyi kampeni tayari ameheshimu maamuzi ya hiyo kamati, kaenda sokoni baada ya kupewa taarifa kuwa kuna ufisadi mkubwa
 
Back
Top Bottom