minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kwani soko ni mali binafsi ya baba yako mtukufu Magufuli?Akague soko ye kama nani bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani soko ni mali binafsi ya baba yako mtukufu Magufuli?Akague soko ye kama nani bwana
Si kila siku anasema hayo ni maendeleo ya vitu?Kuna ufisadi hapo na kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya kifisadi ya CCM iliyojaa vitendo haramu ya kishetani, mmemzuia kwenda sokoni kwa kuwa kuna wizi ufisadi hapo mmeogopa ataibua wizi wenu wote
Umejibu swali langu?Hilo ndiyo jibu la swali nililokuuliza?Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Akague soko ye kama nani bwana
Wewe umeshiriki kufanya ufisadi kwenye soko tenda zote uliwapa wasukuma wenzako ndiyo maana hamtaki Lisu afike hapo kwa hofu ya kuumbuliwaHamna kitu hapo,
Kuna ufisadi kwenye lile soko Tenda nyingi ni za wasukumaUjinga wa viongozi wetu Ni kutumia jeshi la polisi kutuua halafu waje na kisingizio Cha kufuta uchaguzi
Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Unaelewa kuwa ni haki ya wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali ya wananchi inayosimamiwa na serekali inayotokana na kodi za wananchi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Majengo hayo yana wasimamizi wake chini ya halmashauri husika,! Yeye ni nani?
Kwa hiyo alienda kuangalia kama wamejnga vizuri kama ilivyoagizwa ama?
Wapo watu wamepewa jukumu la kusimamia ujenzi wa hilo soko. Magufuli hajampa Tundu Lissu hilo jukumu. Ni kweli unavyosema kuwa limejengwa kwa kodi za wananchi, lakini linasimamiwa na serikali ya MagufuliUmejibu swali langu?Hilo ndiyo jibu la swali nililokuuliza?Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?
Unaelewa kuwa ni haki ya wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali ya wananchi inayosimamiwa na serekali inayotokana na kodi za wananchi?Wapo watu wamepewa jukumu la kusimamia ujenzi wa hilo soko. Magufuli hajampa Tundu Lissu hilo jukumu. Ni kweli unavyosema kuwa limejengwa kwa kodi za wananchi, lakini linasimamiwa na serikali ya Magufuli
Unadhani Lisu kaenda huko bila kumuaga mbowe? Lisu kila analofanya wanakubaliana na mbowe isitoshe Lisu hana mipaka ya kutembea kawaida pasipo kufanya mikutano, acha kutengeneza long story isiyo na tija.Mbowe pole sana, uliyajua haya lakini baada ya maongezi ya siku tatu ukafikiri mmekubaliana, kumbe kinyume chake na utafahamu uzito au faisa ya haya matukio mara baada ya jamaa kuapishwa...
MEko anahangaika sana. AIseeJeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Waliopewa jukumu wameiba pesa na wewe ni mnufaika wa huo wizi ndiyo maana hutaki Lisu afike hapo kwa hofu ya kuumbuka juu ya ufisadi wenu mkubwa, Serikali ipi inasimamia ujenzi wenye ufisadi?Wapo watu wamepewa jukumu la kusimamia ujenzi wa hilo soko. Magufuli hajampa Tundu Lissu hilo jukumu. Ni kweli unavyosema kuwa limejengwa kwa kodi za wananchi, lakini linasimamiwa na serikali ya Magufuli
Vipi gari lenu lipo gereji wapi🤣🤣[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo soko kajenga yeye?
Watu wametulia kwenye soko limejengwa chini ya jemedari Magu, wanajifanyia biashara zao yeye anaenda kukagua?
Anakagua kitu gani kwanza kawa msimamizi wa ujenzi?
Au yeye ni mkuu wa wilaya?
Jane Lowassa,
Dada Jane, kwani anafanya kampeni? Si nimesikia Tume ya Maadili wakifafanua leo kuwa ni ruksa yeye kufanya shughuli za kisiasa kama makamu wa mwenyekiti wa CHADEMA ila asifanya kampeni? Au masikio yangu mabovu?
Tundu hafanyi kampeni tayari ameheshimu maamuzi ya hiyo kamati, kaenda sokoni baada ya kupewa taarifa kuwa kuna ufisadi mkubwaTundu Lissu amezuiliwa kufanya kampeni. Anatakiwa kuheshimu maamuzi ya kamati ya maadili.
Vikwazo vikiweka ndo akili zitawarudia