M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Nina binge moja la tusi moyoni nilitaka nikutukane Ila basi tu. Ngoja nipige kimya.Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina binge moja la tusi moyoni nilitaka nikutukane Ila basi tu. Ngoja nipige kimya.Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Si unasema tunaomsapoti Magu hatujui kitu?Kwa nini nikuelimishe umpigie Lissu kura na wala siyo Magufuli?
na kweli hamjui kitu ni kundi la mazezeta mmekutanaSi unasema tunaomsapoti magu hatujui kitu?
Acha kulisha wengine matango pori kwa stori za jikoni na dada zakoHujui historia , umekaririshwa Mandela alitoka gerezani hai.
Tumia akili yako kujua Mandela alifia wapi ? Na alipokufa nani alivalishwa sura ya Mandela. Na alitolewa gerezani ama alizikwa wapi?
Kwa nini Winnie Mandela alikataa kulala na kivuli cha Mandela ?
Hujiulizi na kuona kifo cha Mandela fake na Mandela original ni tofauti?
Endelea kulishwa matango pori na Lisu wako.
Ni kampeni soko sio mbuga ya wanyama kuwa anaenda kuitembeleaSasa sokoni alitaka akafanye nini?
Eti akikuwa anaenda kukagua soko!
Kukagua soko kama nani? Yeye si anasema hayo ni maendeleo ya vitu?
Huyu jamaa safari hii NEC wamtoe kabisa kwenye ugombea ili akawakilie hao mabwana zake vizuri
Ni sahihi kuwa hamjui kitu au huwa tunawasingizia tu?Si unasema tunaomsapoti magu hatujui kitu?
Lockdown
Hiki ni kipindi cha kampeni, siyo shughuli nyingine za kisiasa. Muwe mnaelewa basi nyie wapinzani siyo kupingapinga tu.
Kuna mahali kuna walakiniLissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
We ni maiti huoni husikii wala hunusiLissu lazima awe Rais wa nchi hii
Upo nchi gani wewe?Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Na asipo kuwa utafanya niniLissu lazima awe Rais wa nchi hii
[emoji23][emoji23][emoji23]...eti safari ya ukomboziNimeamini kuwa safari ya ukombozi haijawahi kuwa kitu cha overnight, ni ndefu kweli kweli. Lissu atatuvusha Watanzania tusifanye Makosa trh 28.10
Kuzungumzia Amani bila kutanguliwa na Haki ni jambo lisilowezekana.