CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Hujui historia , umekaririshwa Mandela alitoka gerezani hai.
Tumia akili yako kujua Mandela alifia wapi ? Na alipokufa nani alivalishwa sura ya Mandela. Na alitolewa gerezani ama alizikwa wapi?
Kwa nini Winnie Mandela alikataa kulala na kivuli cha Mandela ?
Hujiulizi na kuona kifo cha Mandela fake na Mandela original ni tofauti?
Endelea kulishwa matango pori na Lisu wako.
Acha kulisha wengine matango pori kwa stori za jikoni na dada zako
 
Polisi wawadake MTU akikojoa tu pembeni sheria za usafi zitumike hamna vyoo hapo
 
Eti akikuwa anaenda kukagua soko!

Kukagua soko kama nani? Yeye si anasema hayo ni maendeleo ya vitu?

Huyu jamaa safari hii NEC wamtoe kabisa kwenye ugombea ili akawakilie hao mabwana zake vizuri

Kwani hilo soko ni la ccm? Sio wamtoe, Magufuli ameshaagiza atolewe maana Magufuli hana uwezo wa kushindana kwa box la kura. Wakimtoa Tundu Lisu nitacheka kwa nguvu, maana nilijua toka mwanzo kuwa Magufuli na ccm hawana uwezo wa kushindana kupitia box la kura. Ushahidi ni chaguzi zote za marudio toka Magufuli kawa rais, na uchaguzi wa SM.
 
Hapo kuna sheria mbili za kutumika mikusanyiko isiyo halali na sheria za usafi na mazingira watakunya na kujisaidia wapi haja ndogo? Kila atakayevunja polisi bebeni ondokeni naye chap chap
 
Hiki ni kipindi cha kampeni, siyo shughuli nyingine za kisiasa. Muwe mnaelewa basi nyie wapinzani siyo kupingapinga tu.

Kama hiki ni kipindi cha kampeni na hakuna shughuli nyingine, ilikuwaje Museveni na Ndayishimie ambao ni marais wa nchi nyingine kuja kumuombea Magufuli kura hapa nchini?
 
MH LISSU HAKUNA KUONDOKA HAPO. LEO TUNATAKA KUJUA MBIVU NA MBICHI YA HIYO TUME YAO. NA HIKI INAONEKANA NDICHO KIKICHOKUWA KIMEPANGWA TANGU JUZI, NDIO MAANA YULE ‘MAMBOLEO’ ALIWITHDRAW TAMKO LAO LA WEWE KUREPORT POLISI HARAKA HARAKA. WALISHAJUA WATAKUPATA BAADA YA KATAZO LA TUME. YANI HAWA NI WAMEDHAMIRIA MABAYA SANA. ILA TUTAVUKA TU HAYA MAUJINGA.
 
Nimeamini kuwa safari ya ukombozi haijawahi kuwa kitu cha overnight, ni ndefu kweli kweli. Lissu atatuvusha Watanzania tusifanye Makosa trh 28.10

Kuzungumzia Amani bila kutanguliwa na Haki ni jambo lisilowezekana.
[emoji23][emoji23][emoji23]...eti safari ya ukombozi
Hiyo mnayoipigia kelele ni sawa kulilia safari kwenda kuangamia
 
Back
Top Bottom