Magu kama alitubu au hakutubu Kwa dhati Tumwachie Mungu,Marehemu alitubu umwagaji damu alioufanya Kwa watu wasiokua na hatia? Hatubu mtu na hakuna unakachiweza kufanya labda kachomeke na mfu wenu huko motoni
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sikubaliani na upuuzi wa hao uliowataja, hata makonda alifanya upuuzi mwingi'',Wakati kina kheri jemsi wanasema watawatia mimba wake za wanaompinga dikteta mlishangilia mbona? Wakati nape anasema hatuwezi kupeleka maiti ikulu je? Wakati mfu wenu anasema hela mtaitolea sehemu yoyote ya mwili yenye uwazi si mlishangilia mazuzu nyie? Sasa mbona mkiambiwa ukweli mnapaniki
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni mabaya Kweli yalifanyika na tuhakikishe hayajirudii.Bila kusahau kula rambirambi za tetemeko Bukoba, kuwadhulumu wakulima wa korosho fedha zao Kisha kwenda kuwanyang'anya korosho zao na magari ya jeshi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wenye hela za kugawa kama njugu ni CCM kanga za bure kofia fulana matenge kugawa fedha, hawa wengine sijaona wakigawa fedha sanasana hua wanachangisha fedha Ili kukijenga chama chaokwa hii chadema au chadema nyingine.labda wakaanzie moshi.huku tutawalia Hela zao sana ila matokeo yake watamuona Samia kileleni
Tafuta kazi ya kufanya wewe utakuja kufanywa vibaya halafu utabaki kulialia binadamu wabayachadema haina jipya.wenyewe walete Hela zao tule wapite kule
Hao Barric waliingia mkataba wa uchimbaji madini na Lissu? Unampangia aache kuwa mpinzani wewe kama nani? Kazi ya upinzani ni kukosoa wewe sifia tatizo liko wapi? Unataka Kila mtu apende unachopenda wewe? Fungua fuvu hiloMimi ni mtu mwenye fikra huru.
Simchukii LISU. Namkubali Lissu ktk yafuatayo.
1. Ni JASIRI 2. INTELLIGENT 3.Mwanasheria mahiri. 4. Mtetezi wa wananchi wasio na uwezo.
MAPUNGUFU ya LISSU.
1. Kutokubali STRENGTH za WAPINZANI wake.
Mfano mzuri ni jinsi alivyopinga Kila kitu alichofanya Magu, upinzani wa namna hii ni WA kizamani.
Anatakiwa kukubali ikiwa Watawala wamefanya vizuri ktk jambo Fulani na baada ya hapo akatoa namna Bora zaidi ambayo wao wanaweza fanya wakipewa nafasi.
2. KUTETEA BARRICK na ACCACIA.
Mtu huyu sijawahi kumuelewa labda kama nitakutana naye na kuhojiana naye face to face.
Alikubali AJIRA ya kuwatetea Kampuni inayokandamiza wananchi. Akalipwa pesa na akasimama dhidi ya Serikali ktk case za kimataifa,
Kwangu mm nilimuona kama msaliti. Alipasa ajiuzulu uongozi wa CDM Ili akafanye KAZI yake kama professional Kwa maslah yake binafsi na Si kukaa nafasi zote mbili.
.
Ndio muwaache sasa tuwasikie kama hawana sera mbona mnawashwawashwa?CHADEMA hawana sera za kuwaambia Wanamwanza, kiufupi hawana sera kabisa safari hii. Watakuja na maneno ya uchonganishi tu, na kumbukizi za wapendwa wao walitangulia mbele za haki. Mambo waliyo yapigia kelele mtangulizi wa Rais Samia alianzisha machakato na sasa Rasi Samia anamalizia kuyafanya na mengine mengi anayashughulikia. Yule gaidi uchwara tangu aachiwe hana nguvu kisiasa, zaidi kunasiku anaweza akaunga mkono juhudi maana ile kesi ilikua inamuondoa kwenye mstari.
Msaliti kushambuliwa ni kawaida tuTulisikitika tulipopata habari za Lissu kuishambuliwa,
Tulimwombea CCM, CDM na vyama vingine vya upinzani na Mungu akatusikia.
Haikuwa sawa kushangilia kifo Cha Magu hata kama alifanya mabaya, sababu Pana mengi MAZURI alifanya.
Mungu awape CDM hekima kuomba msamaha Ili kuwaunganisha wananchi na Taifa Kwa ujumla Kwa ustawi wa Taifa letu.
Aamen.
No unakosea pia.Msaliti kushambuliwa ni kawaida tu
TutawanyoaHao Barric waliingia mkataba wa uchimbaji madini na Lissu? Unampangia aache kuwa mpinzani wewe kama nani? Kazi ya upinzani ni kukosoa wewe sifia tatizo liko wapi? Unataka Kila mtu apende unachopenda wewe? Fungua fuvu hilo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tafsiri ya upinzani ni ipi?Hao Barric waliingia mkataba wa uchimbaji madini na Lissu? Unampangia aache kuwa mpinzani wewe kama nani? Kazi ya upinzani ni kukosoa wewe sifia tatizo liko wapi? Unataka Kila mtu apende unachopenda wewe? Fungua fuvu hilo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kusanya ukoo wako mzima mje kuzomea uone mnafikiri tupo enzi za mwendakuzimu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Lissu atubu Kwa kosa Gani? Hivi mtu kakushindilia risasi 38 mwilini Mungu kakuponya halafu kamuua adui yako utaacha kumshukuri Kwa matenda yake makuu? Hata waisraeli walitunga wimbo wa kumshukuri na kumsifu Mungu baada ya kumwangamiza Farao na majeshi yake kule bahari ya Shamu.Magu kama alitubu au hakutubu Kwa dhati Tumwachie Mungu,
Hotuba ya Magu Kanisani kabla ya kuugua ilikuwa maombi ya TOBA, fuatilia vizuri.
Lissu Yu HAI na ndiye mwenye nafasi ya kutubu,
Imeandikwa, Baada ya KIFO HUKUMU.
Lissu ATUBU tu, Si vibaya kutubu na ni mbaya kukaza shingo.
Sikubaliani na upuuzi wa hao uliowataja, hata makonda alifanya upuuzi mwingi'',
Wapo wapuuzi walishangilia kupigwa risasi, wapo pia walioshangilia kufa Kwa Magu.
Huo wote ni upuuzi na kukosa maadili.
Sisi ni WATANZANIA, Taifa moja, Nchi moja.
Viongozi wa CCM na upinzani wawe mstari wa mbele kusimama ustaarabu, ubinadamu na HAKI za raia wote.
Lisu ATUBU kiungwana kuunganisha Nchi, ndo Uzalendo huo.
Kukata moto kwa jiwe kulinipa furaha sanaTumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Una picha ya Magu ikimuonyesha akimiminia risasi Lissu?Lissu atubu Kwa kosa Gani? Hivi mtu kakushindilia risasi 38 mwilini Mungu kakuponya halafu kamuua adui yako utaacha kumshukuri Kwa matenda yake makuu? Hata waisraeli walitunga wimbo wa kumshukuri na kumsifu Mungu baada ya kumwangamiza Farao na majeshi yake kule bahari ya Shamu.
Lissu Hana kosa lolote
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Una ushahidi? Na kama ushahidi unao kwa nini hupeleki mahakamani?Lissu atubu Kwa kosa Gani? Hivi mtu kakushindilia risasi 38 mwilini Mungu kakuponya halafu kamuua adui yako utaacha kumshukuri Kwa matenda yake makuu? Hata waisraeli walitunga wimbo wa kumshukuri na kumsifu Mungu baada ya kumwangamiza Farao na majeshi yake kule bahari ya Shamu.
Lissu Hana kosa lolote
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unaona ulivyokua na chuki sasa?Msaliti kushambuliwa ni kawaida tu
Kukata moto kwa jiwe kulinipa furaha sana
Leo mwanachadema wa bawacha pia amekata moto. Shangilia saasaKukata moto kwa jiwe kulinipa furaha sana
Huwezi kufanya lolote wewe lialia tu mitandaoni njaa ikikuuma kagongee Kwa shemu wako hapo upige msosi ukalale tuache wanaume tujenge nchiTutawanyoa