Kwamba unafurahi ndege kuendelea kupaki na unajiita Mpinzani na unataka upewe Nchi!!!!Kulikua na ulazima wa kununua ndege? Bunge lilijadili na kuidhinisha bajeti ya kununua ndege?
Serikali ilitangaza zabuni ya kununua ndege kama sheria ya manunuzi ya umma inavyotaka?
Au yalikua maamuzi ya mtu mmoja?
Waliohoji haya unajua walikua wanafanywa Nini?
Sasa hutaki ushauri halafu ukifeli unataka watu wakushangilie?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakika nakwambia hakuna mwenye huo ujasiri wa kumsema JPM kwa sasa tena Mwanza kwenye Jukwaa hayupo.Hata hao viongozi wa CDM hawawezi ruhusu.Hii mehemko yao ni ya hapa hapa JFNendeni jukwaani mkamsifu mama kwa hisani aliyiwapa,halafu kima mmoja ajifanye fuse imechomoka,aropoke kwamba jpm aliwanyima haki hiyo.
Vinginevyo chuki dhidi yake ni rohoni na nyuma ya infinix zenu tu.
Kwa hiyo wewe huna elimu kabisa kuhusu usafiri wa anga? Kuna nchi haina ndege?.Kulikua na ulazima wa kununua ndege? Bunge lilijadili na kuidhinisha bajeti ya kununua ndege?
Serikali ilitangaza zabuni ya kununua ndege kama sheria ya manunuzi ya umma inavyotaka?
Au yalikua maamuzi ya mtu mmoja?
Waliohoji haya unajua walikua wanafanywa Nini?
Sasa hutaki ushauri halafu ukifeli unataka watu wakushangilie?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sema wanakuonaje wewe,sisi wasukuma wenzio tunaungana nao bega kwa bega tena nilikuwa wa kwanza kufuruahia kifo chakeTumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Walidhani 2025 Iko mbali, na nyuzi zao za kejeli Bado ziko humuTumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Hapana uchaguzi ulikuwa wa 2015.
We wa kaskazi Sukuma gang tunajuanaMwanza tutafanya mkutano vizuri tu na bibi yako lazima atahudhuria atakupa report.
Acha ujinga!.Hivi hiyo Mwanza ni Mali ya ukoo wako? Maana naona unaitumia kutishia watu wanaotaka kufanya mikutano Yao halali, kama ni Jiji la familia yenu zungushieni ukuta muweke walinzi getini mtu yeyote msiyempenda asiingie
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
WAZURI HAWAFI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Hamna msukuma kilaza kama weweSema wanakuonaje wewe,sisi wasukuma wenzio tunaungana nao bega kwa bega tena nilikuwa wa kwanza kufuruahia kifo chake
Sio mwanza tuu, hata wakizunguka nchi nzima wanajuwa hawawezi kumsema Magufuli kwa ubaya.Haya wanayaongelea hapa hapa,kule Mwanza hawawezi hata kuthubutu.
Babu zako hawakuwa wazuriWAZURI HAWAFI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simchukii Lisu,nachukia misifayake uchwara.Omba wewe radhi na utubu Kwa chuki zako Kwa Lissu au alikuchukulia mke?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ulifurahiya nini, kwani ulimsikia akisema anaogopa kufa?.Kukata moto kwa jiwe kulinipa furaha sana
Tutakuwekea twit na video za waume zako wakishangiliaNadhani una shida nani alishangilia,kila mtu alisikitika hata waliobambikiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Babu zako hawakuwa wazuri
Babu zake,bibi zake pengine na hata Wazazi wake na wote waliokufa kwa ukoo wake walikuwa Mashetani kwa mujibu wake.Hawa ndiyo GT wa JF.Babu zako hawakuwa wazuri
Yule dhalim hakuwa Msukuma bali alijivika usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa sababu kabila la Wasukuma lina idadi kubwa ya watu,yule ni MhutuHamna msukuma kilaza kama wewe