Hiki kimama kwa kilipofikia hata ukijitangaza tu kuwa wewe mganga basi atakuita ikuku ukamgangue kwenye tamaa yake ya uraisMwaka huu waganga wa kienyeji wamenufaika sana na hela za Sir100. Kuanzia wale wa visomo Gombero na Tongoni mpaka wale wa tunguli na vibuyu Mlalo na Kwedikwazu alipokua kwenye ziara ya mkoa wa Tanga.
Huko Kanda ya Ziwa kile kikosi kilichokua kinamlinda Jiwe kiliitwa na kufanya kazi. Commoro wameandaliwa magwiji wa visomo.
Inashangaza sana kuwa, taarifa za mtu aliye gerezani Tanzania, yuko kwenye tishio la kuuwawa, kabla ya watu wake wa karibu walio nchini kupata taarifa, watu wa mashariki na magharibi ya mbali Ulaya wanapata taarifa kwanza na kuijuza dunia🤔
Usitake kuamisha mjadala. Muuaji ni SamiaMbowe ndiyo humchochea afanye ushetani ili arejee chadema kwa njia haramu za kishetani
Mbowe ndiyo mratibu huko ccm huenda kuomba msaada usimtetee Mbowe kwani ana chuki kubwa na LisuUsitake kuamisha mjadala. Muuaji ni Samia
Vyombo vya uchunguzi vya mahakama ya uhalifu ya kimataifa ICC The Hague vipo Tanzania vinachunguza nyendo za watesi wote, kila njama mbaya za hovyo vinazinasa ili baadae watesi wote wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma zaoInashangaza sana kuwa, taarifa za mtu aliye gerezani Tanzania, yuko kwenye tishio la kuuwawa, kabla ya watu wake wa karibu walio nchini kupata taarifa, watu wa mashariki na magharibi ya mbali Ulaya wanapata taarifa kwanza na kuijuza dunia🤔
Huyu mtu (Tundu Lissu) bila shaka ni mtu special sana na kuna kila sababu kuamini kuwa amefungiwa GPS na kifaa maalumu mwilini mwake cha ku - detect any kind of danger iwe ni sumu au mtu mwenye nia ya kumdhuru anakuwa detected from a far distance...
View: https://youtu.be/smbx2Egg-IY?si=lGlMYDl7VPxt1txL
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini.
Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02 Julai 2025, kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya kuaminika. Miongoni mwa waliotoa kauli kuhusu suala hili ni Mhe. David McAllister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya (European Parliament), ambaye kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) ameandika:
"Nina wasiwasi mkubwa kuhusu ripoti za kutisha za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani wa Tanzania Tundu Lissu akiwa kizuizini."
Chadema inachukulia taarifa hizi kwa uzito wa hali ya juu. Hili si jambo la kupuuzia, hasa tukikumbuka kuwa si mara ya kwanza kwa viongozi wa Chadema kulengwa na vitisho, mashambulizi au uonevu wa aina mbalimbali, huku taarifa nyingi tulizowasilisha kwa mamlaka husika zikipuuzwa au kutochukuliwa hatua yoyote.
Tunazitaka mamlaka husika, likiwemo Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mahakama kuchukua hatua za haraka, huru na za kina kuchunguza madai haya mazito. Tunaitaka Serikali kutoa kauli ya wazi na kuwajibika kuhakikisha usalama wa Mhe. Tundu Lissu akiwa kizuizini.
Pia, soma; IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani
Tunatoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa, Mashirika ya Haki za Binadamu, Mabalozi na wahusika wengine wote wa kimataifa kufuatilia kwa ukaribu suala hili na kushinikiza uwajibikaji, ulinzi wa haki za binadamu, na kuheshimiwa kwa misingi ya demokrasia nchini Tanzania.
Imetolewa leo Jumatano, tarehe 02 Julai 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3391862
Mbowe atamtuma mtu gerezaniJe wahusika ni wale Askari Magereza wanaoficha sura?
Mbowe kamwandaa kileo wa chauma bingwa wa Tindikali kemikali na sumu zote aandae mtu apelekwe gerezani awe karibu na mbowe atekeleze huyo unyama wa kishetaniHii ni Habari mbaya Sana kupita kiasi
Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shakaKuna mtu nilimsikia akisema kuhusu huu mpango, ilikuwa Mwezi Mei
Nilidhani ni habari za vijiweni, kumbe ilikuwa serious 🙌
Mungu atusaidie Kwa kweli
Wapemba hawana dhiki ya wagangaHiki kimama kwa kilipofikia hata ukijitangaza tu kuwa wewe mganga basi atakuita ikuku ukamgangue kwenye tamaa yake ya urais
Hivi anataka kumdanganya nani?Usitake kuamisha mjadala. Muuaji ni Samia
Ni pressure ili wamtoe, kwamba nje ni salama zaidiChadema wamecheza kwa akili hii karata, yani hawajaonyesha kama wao ndio wameleta haya madai. Yani wao wametoa msimamo wao kwa madai ya mtu mwingine ambae, mamlaka ya kioga hawawezi kum "target" yani kumkandamiza. 😁
Akili imetumika hapa.
Mwenye nia ya kumuua Lisu ni Mbowe ambaye kaenda kuomba msaada kwa ibirisi ccm washirikiane, mungu kagoma ndiyo maana siri zimevuja sasaHakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Weka ushahidi kabla hatujakulipuaMbowe atamtuma mtu gerezani
Wewe ndiyo umetumwa kumuua maana maneno yako ni ya kishetaniNi pressure ili wamtoe, kwamba nje ni salama zaidi
Jilipue mwenyewe hapo ghetto kwa mbowe unaposhida ukivuta bangiWeka ushahidi kabla hatujakulipua
Hivi mjomba unataka kumkwepesha Samia kwa faida ya nani?Mwenye nia ya kumuua Lisu ni Mbowe ambaye kaenda kuomba msaada kwa ibirisi ccm washirikiane, mungu kagoma ndiyo maana siri zimevuja sasa