Mateso manyanyaso kwa chadema ni mradi wa kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm wanachofanya sasa humchochea Mama Bokasa Kaburu mkoloni toka Zanzibar afanye mambo ya hovyo , kisha wakiona moto umewaka wanaenda kuomba pesa kwa ajili ya kutuliza joto la kisiasa na kuidhoofisha chadema ndipo mama Dikteta pasipo kutafakari anawapa mabilioni wanagawana wenyewe wanachukua chao mapema kisha kidogo wanawanunua G55 toka kwa mbowe kuwasokomeza chauma ubwabwa chama chawa cha ibirisi ccm ambapo Amos makala na mbowe hula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm ni miradi haramu ya kishetani na pia inatumika kumchuuza huyo Mkoloni toka Zanzibar aje kuenguliwa mbio za Urais kwa kukosa sifa za ubinadamu, wenye ccm yako hawataki tena huyo mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar
Kila mtu humu jf amekudharau kuliko takatakaJilipue mwenyewe hapo ghetto kwa mbowe unaposhida ukivuta bangi
Wewe "unadhani" na kudhania sio kosa kisheria.Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Wewe mvuta bangi tokea lini ujue chochote? Wewe ni mnufaika wa utekaji na matendo haramu ya kishetaniHivi anataka kumdanganya nani?
Wewe ndiyo mzoga hakuna anayekuheshimu mbweha wewe mvuta bangiKila mtu humu jf amekudharau kuliko takataka
Unajidanganya.Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Huna akili na tushakuanika ukijaribu kuchepusha mada, mjinga wee! na sasa tunakuanika Rasmi, kapuku mkubwa wee!Wewe mvuta bangi tokea lini ujue chochote? Wewe ni mnufaika wa utekaji na matendo haramu ya kishetani
Eti ibirisi wa ccm wamekupa jukumu uwatetea mitandaoni? Wewe mbumbumbu juha zuzu kikaragosi badala ya kuwasaidia ccm unawatia aibu kwa upumbavu wakoKila mtu humu jf amekudharau kuliko takataka
Wewe Akili unazo? Kichwani umejaza kamasi debe mbili nani wa kukusikiliza tahira wewe jianike mwenyewe pumbavu zako, umelewa sifa za kula pesa za walipa kodi kwa njia haramu za kishetani hadi umejitoa fahamu zoteHuna akili na tushakuanika ukijaribu kuchepusha mada, mjinga wee! na sasa tunakuanika Rasmi, kapuku mkubwa wee!
watasema ni uvumishi; ila wakijua imejulikana wataghairiTundu Lissu ameshakuwa Mtu hatari kiasi hiki? What has he done?
Nina imani serikali itatoa ufafanuzi
Wenye ccm yao na wao hawamtaki wanataka kumwengua mbio za UraisHuyu mama kwa sasa, amefikia kiwango cha kuchukiwa na watu wengi, kuliko mtu mwingine yeyote.
Hilo nalo neno ingawa kuna zile sumu za kuua baadae sana anakuja kufa akiwa huruwatasema ni uvumishi; ila wakijua imejulikana wataghairi
No zipo sumu zinaua pole pole. Unalishwa leo inakuua tararitibu kwa miezi 3 hivi. Utashtukia ini limeferi kwa mfano unue ndio imetoka hiyo. Akipewa atatoka gerezan mzima sasa subiri mwezi upite.Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Yes, Mwakyembe aliponea chupuchupu sijui alimkosea nani?Hilo nalo neno ingawa kuna zile sumu za kuua baadae sana anakuja kufa akiwa huru
TutaonaMateso manyanyaso kwa chadema ni mradi wa kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm wanachofanya sasa humchochea Mama Bokasa Kaburu mkoloni toka Zanzibar afanye mambo ya hovyo , kisha wakiona moto umewaka wanaenda kuomba pesa kwa ajili ya kutuliza joto la kisiasa na kuidhoofisha chadema ndipo mama Dikteta pasipo kutafakari anawapa mabilioni wanagawana wenyewe wanachukua chao mapema kisha kidogo wanawanunua G55 toka kwa mbowe kuwasokomeza chauma ubwabwa chama chawa cha ibirisi ccm ambapo Amos makala na mbowe hula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm ni miradi haramu ya kishetani na pia inatumika kumchuuza huyo Mkoloni toka Zanzibar aje kuenguliwa mbio za Urais kwa kukosa sifa za ubinadamu, wenye ccm yako hawataki tena huyo mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar
Ingekuwa hivyo asingemtuma warsame kumhangaikia kumletea misangoma mpaka ya mombasa na kwinginepoWapemba hawana dhiki ya waganga
Naunga mkono hojaKuna mtu ufahamu wake umepokwa na majini na yanamcontrol