Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Huyo bado ni Rais ndiyo maana anaendelea kulindwa na vyombo vya dola na ipo hivyo duniani kote! Unafikiri wataacha kutumia helicopiter za kumlinda Rais simply kuna uchaguzi? Niambie nchi gani hata Marekani wamefanya hivyo!!?
 
Logic ya Mbowe hapa ni kwamba yeye anaangalia ruzuku. Anajua akifanya ununda mgombea anafutwa mazima halafu ruzuku itakuwa ndiyo imepotea.

Lkn kumbe alipaswa kugangamala ili kama mbwayi na iwe mbwayi tu. Na hii ndiyo ingelonesha sura halisi ya ccm ya Magufuli.

Madiwani na wabunge wamefyekwa amufyata. Wagombea wanapigwa ban kupiga kampeni anaufyata, sasa mpk mgombea urais anapigwa ban bado anaufyata. Kuna nn tena hapo?

Chadema utaibiwa halafu Mbowe atawekwa sawa,kisha atakuja na nyimbo zile zile.

Hivi haoni misimamo ya mwenzake Maalim Seif???
 
..but ccm is worse.

..kamati ya maadili imesheheni vyama vibaraka wa ccm.

..nec yenyewe ina upendeleo wa waziwazi kwa ccm.
Halafu mnaposema vyama vingine ni vibaraka, mnamaanisha kuwa nyinyi mna haki zaidi kuliko vyama hivyo. Fikra za namna hiyo hazitakiwi kwenye nchi ya kidemokrasia.
 
Huyo bado ni Rais ndiyo maana anaendelea kulindwa na vyombo vya dola na ipo hivyo duniani kote! Unafikiri wataacha kutumia helicopiter za kumlinda Rais simply kuna uchaguzi? Niambie nchi gani hata Marekani wamefanya hivyo!!?
Kweli #Sunzu hajui kuwa Magufuli bado ni Raisi, hajui Kama Magufuli bado anatekeleza Kama Raisi!
 
Reactions: UCD
..but ccm is worse.

..kamati ya maadili imesheheni vyama vibaraka wa ccm.

..nec yenyewe ina upendeleo wa waziwazi kwa ccm.
Kama unachosema ni hivyo kuwa vyama vyote ni vibaraka na Chadema ni vibaraka wa nani? Wa mabeberu akina Robert Amsterdam au?
 
Halafu mnaposema vyama vingine ni vibaraka, mnamaanisha kuwa nyinyi mna haki zaidi kuliko vyama hivyo. Fikra za namna hiyo hazitakiwi kwenye nchi ya kidemokrasia.
Kwani uongo kwamba ni vibaraka??? Mbona watanzania tunavijua
 
Mbowe alitakiwa kuomba radhi kwa kitendo cha mgombea wake kutoa kauli ya uongo unaolenga kuigombanisha tume na wananchi. Kutokuomba radhi kunaondoa credibility ya yote aliyoongea.
Kauli ipi ni ya uongo???
 
Az Aziz katika ukafiri wa kiwango cha lami.Muslims always wanasimamia HAKI. Je inachofanya tume ni haki?Kama hilo la kutumia watumishi na mali za umma.

Asalaam Waleykum
 
,, p, 9. 'Zvz #., .. is.
, , a z m, 4. ,8, , vp, :*@cv. It. . vv.
,5. ,, o. ,any. C,no c v. N. Zb6 f6,666fsm. ,, ,, ..u. 7 a, , v. I c x. , .. n b .6

Yyya hhurreaa hhhii 6667, jjjyfdaatn bnnnj bbjjgeeaa. Hhhhiuyssab gghhh 😆😆😆😆 bbjjaa 986 ;;; vgfedaa bbbb. Kkkhewqa:'--+7, jjjttewab nnnkgdssvbhh. ,,.njj!!?:&& 32))///!?+ Ggtaajjj yyrrjjki ddwaaqwttbjjn!!!(+®®©π°^¥¥€<,bjjgaybjh.
 
Halafu mnaposema vyama vingine ni vibaraka, mnamaanisha kuwa nyinyi mna haki zaidi kuliko vyama hivyo. Fikra za namna hiyo hazitakiwi kwenye nchi ya kidemokrasia.

..viko vyama vinaendeshwa kwa remote control ya ccm.

..yule katibu wa nec ni kada mkereketwa wa ccm.

..hila za ccm ndiyo zinaharibu na kudidimiza demokrasia nchini.

..rafu ktk siasa zipo ktk nchi nyingi, lakini siyo kwa kutumia tume ya uchaguzi, polisi, na mahakama.
 
Mkuu umeandika Nini? Umeandika kile mbowe kasema ,au umeandika kile umeona moyo wako unakipenda,ebu Soma tena ulichokiandika, na tazama clip tena ya mbowe ni vitu viwili tofauti
 
Mbowe ameshindwa kujibu hoja leo
 
Kilichofanywa na tume nikuangalia tu chadema watareact vipi hili kupimo upepo siku ya upigaji kura
Hawajui kuwa Chadema wamewaacha ili kupeleka ushahidi kwa Marekani waliotoa tamko kuwawajibisha wote watakaoharibu uchaguzi wa mwaka huu!

Kitendo cha Tume kumsimamisha Lissu kufanya kampeni huku ikiwa haifanyii kazi malalamiko ya chadema ni ushahidi mkubwa sana kwa Marekani jinsi gani demokrasia inavyokandamizwa na Tume kwenye uchaguzi huu.

Chadema anachofanya ni kufuata taratibu akijua wakubwa wote wanakusanya ushahidi ili siku ya mwisho wakianza kuwaadhibu CCM na vibaraka wake wasiwe na visingizio
 
Hakuna kitu ishatoka hiyo. Na hapo ni kama wamepingana na msimamo wa lissu ambaye alikuwa tayari leo kuendelea na kampeni
Wanapunguza moto kwa uoga wao wa kijinga. Lissu ni mtu sahihi, makini na anajua jinsi gani ya kudili na jamii ya wakandamizaji. Malcom X anasema huwezi kudili kwa kutumia hekima kwa jamii ambayo hekima mliitumia tangu kale juu ya mwenendo wao wa ukandamizaji lakini hawajaielewa na hawataki kuielewa. Njia pekee ya kudili na wakandamizaji ni kutumia njia ileile kama wanayotumia wao ikiwa unaamini unapigania haki.

Tume kumsimamisha Lissu ni ubatili wa mchana kweupe! Hakuna misingi au taratibu yoyote aliyoivunja kisheria. Udhaifu waliyouonyesha leo Chadema ni mkubwa sana. Unafikiri kwa ule moto Lissu aliyokuwa anadili na askari kwa sasa askari watamuona mlaini tu hawatomuhofia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…