Huyo bado ni Rais ndiyo maana anaendelea kulindwa na vyombo vya dola na ipo hivyo duniani kote! Unafikiri wataacha kutumia helicopiter za kumlinda Rais simply kuna uchaguzi? Niambie nchi gani hata Marekani wamefanya hivyo!!?Tumemuona Rais mali za serikali, magari ya serikali yaliyobadilishwa rangi na kuwa rangi ya kijani na kuwekwa namba za chama cha mapinduzi, yale yote ni magari ya Ikulu. CCM hawajaagiza gari hata moja, yale ni magari ya Ikulu na kama CCM wanapinga watoke hadharani na document hizi hapa........kwamba Magufuli ni mzalendo,mzalendo uchwara?