Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Alijisahau wenzie wakamkumbusha!

Tatizo mna lazimisha tufanane wote kuanzia kimtazamo/kufikiri/kuamua/kutenda ,si mmbadilishe tu Katiba turudi ktk Mfumo wa Chama kimoja ili tujue moja.
 
Kwa maneno mengine unabariki unyonge wa Chadema dhidi ya mfumo kandamizi uliopo. Si ndiyo? Sasa kama ndivyo chama kinashiriki uchaguzi kwasabb gani ili hali kinajua ni kinyonge na hskina namna ya kuushinda mfumo kandamizi huu?
 
Kwanza CHADEMA siyo wanyonge kama unavyotaka kusema hapa CHADEMA wangekuwa wanyonge kwa haya mapigo waliyopigwa toka 2010 wasingefika hapa walipo.

Wananchi ambao tunadai kuchoshwa na ccm hatuonekani kuwa tayari kuondokana na huu unyama.

Hivyo wananchi sisi ndiyo wanyonge kuliko hao CHADEMA

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kwa maneno mengine unabariki unyonge wa Chadema dhidi ya mfumo kandamizi uliopo. Si ndiyo? Sasa kama ndivyo chama kinashiriki uchaguzi kwasabb gani ili hali kinajua ni kinyonge na hskina namna ya kuushinda mfumo kandamizi huu?
Wewe dogo sijui una miaka mingapi ila itoshe kusema una mawazo fulani ya kitoto na kipumbavu.
 
Tumchague magu akachome nyavu zetu tena?tena kwahili wavuvi tuwe makini sana yule Dada anaeonea watu sana anaitwa judisi alikuwa ameisha anzatena uonezi wakamwambia ccm itakosa kura akarudi nyuma mpitisheni magu muone kimbunga cha nyavu kuchomwa bila hata taratibu inachomwa leo unaikuta dukani inauzwa kama ile narisiti unapewa lengolao nikukusanya kodi na kutuacha masikini
 
Wananchi ambao tunadai kuchoshwa na ccm hatuonekani kuwa tayari kuondokana na huu unyama.

Hivyo wananchi sisi ndiyo wanyonge kuliko hao CHADEMA
Hili la watanzania kuwa waoga linajulikana Sana. Na ndiyo maana wananchi tumeweka matumaini yetu makubwa kwa mtu jasiri asuyeogopa kitu...Tundu lisu. Maamuzi ya kamati yanaleta ukakasi
 
Kumbe kila sehemu unareply hili hili Jambo tu.

Wewe furaha yako nchi iwekewe vikwazo bila sababu ya Msingi.

Anza kufikiria kutumia akili yako,acha kuchukua kila kitu anacho post huyu mpuuzi Roberto Amsterdam.
 
Kama chama hakimuamini mgombea kiasi hiki, kuna sababu ya wananchi kumuamini ?
Narudia tena usipoteze nguvu zako na akili zako ndogo kwa propaganda uchwara. Watanzania wanauwezo was kufanya analysis. Wanapomkubali Tundu Lissu kila kona ya nchi ni baada ya kujiridhisha mkoloni mweusi sasa basi. Kuna watu ndugu zao wamepotea, wengine wameuawa, wengine wamebambikiwa kesi,wengine wamefukuzwa kazi kwa visingizio kadhaa na wengine wapo mahabusu kwa maslahi binafsi ya watu flaniflani. Hao wanasimanzi mioyoni mwao, hata upige propaganda vipi haitosaidia.
 
Tumchague magu akachome nyavu zetu tena?
Sasa unadhani kwa maamuzi utopolo kama haya ya kamati utaitoa ccm?

Kura zitaibiwa mchana kweupeee na chama kitakuja na maamuzi utopolo mengine tena. Nyota njema huonekana asubuhi tu
 
Eti harufu ya uwoga!! Ni mpumbavu tu ndo atakaye msuport lissu kwenye jinsi namna anavyo fanya siasa zake za personal attack minus sera ndani yake.
Mgombea wenu anavyowadhihaki wapiga kura na kuendorse miradi wakati ni kipindi cha kampeni ni nini maana yake?
 
Huyu mwenyekiti huwa anakuwa na busara. Lakini huyo mbeligiji!!

Ningekuwa mshauri wa serikali na NEC ningewashauri wamwache tu aendelee na matusi yake make alikuwa akijishushia heshima siku hadi siku. Anatukana vyombo vya dola akishinda u-JPM atafanya kazi vip na hao anawatukana. Kila binadamu ana nyongo bwana.
 
Sasa unadhani kwa maamuzi utopolo kama haya ya kamati utaitoa ccm?

Kura zitaibiwa mchana kweupeee na chama kitakuja na maamuzi utopolo mengine tena. Nyota njema huonekana asubuhi tu
Tunashukuru unamaamuzi yakikao tujuze nasituelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…