Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Kulikuwa na uzi wenye barua hiyo umeondolewa na mods. Barua inaongelea kuwa kamati kuu ya chadema imeridhia kwa kauli moja chadema na ACT kushirikiana na unasema kamati imekubaliana na maamuzi ya tume kumsimamisha mgombea urais mpk tarehe 9/10
Asante ilabado nasema siombaya ukombozi umefika nisasa
 
Kamati kuu mkienda kinyume na msimamo wa Lissu wa kuendelea na kampeni, tambueni kuanzia sasa Nec na serikali watawafanya wanavyotaka. Ni kwasababu Mbowe ni mwenyekiti press kama hizo anatakiwa azungumze mtu kama Heche, Lissu au Godbless Lema. Mbowe ataanza kuingiza mambo ya busara tu.
 
Kama Lisu anajiona yupo juu ya sheria, aendelee Leo na kampeni
Magufuli atapewa adhabu lini?Unaelewa kuwa Magufuli anavunja sheria za uchaguzi kuliko mgombea yeyote yule Tanzania?

Akiwa kwenye kampeni anaagiza mamilion ya fedha kupelekwa kwenye maeneo anayopita ambapo kwa mujibu kwa sheria za uchaguzi hiyo ni rushwa.Magufuli anawagawa Watanzania kwenye kampeni zake,utasikia akiwa anasema kuwa msiponiletea mbunge hapa sileti maji.Magufuli anafanya kampeni nje ya ratiba ya tume.

Waziri mkuu anafanya kampeni kwa kutumia cheo chake cha uwaziri mkuu.Magufuli pamoja na waziri mkuu wanatumia rasilimali za serekali kama vile fedha na magari ya serekali kufanya kampeni.Haya yote ni kinyume cha sheria za uchaguzi.Yeye atachukuliwa hatua lini?

Kwa nini unakuwa na double standard?Yaani Magufuli akivunja sheria sawa ila Lissu akivunja sheria anapaswa kupelekwa kwenye tume ya maadili!Wewe pamoja na tume ya uchaguzi nikiwaita kuwa ni wapumbavu,masikini wa akili na mbumbumbu kwa sababu mnaamini katika double standard nitakuwa nimewaonea?
 
Muhimu_ Leo 04_10 Saa saba mchana! ( 640 X 640 ).jpg
 
Hapa hakuna la maana hata kama wamekesha. Mgombea alishasema anaendelea na kampeni, Sasa kamati kuu inakesha kwasabb gani? Mbowe mwoga Sana huyu
Usikurupuke kuongea mkuu,kikao kilikuwa kinahusu kushirikiana kimkakati na ACT ukiachilia mambo mengine
 
Lissu na CHADEMA sio wapuuzi kama ccm na vijana wake wa Lumumba ndio maana wameweza kuwa chama kikuu cha upinzani kilicho tishio na chenye nguvu sana
Na kitaendelea kuwa hivo hivo but Ikulu Hapana, Watanzania tunawapa baraka zote na kusimama na nyie kuwa Chama kikuu cha upinzani hakijawahi kutokea tangu kuasisiwa kwa taifa letu pendwa but Magogoni Hapana.
 
Lissu ni mgombea wa Chadema sio mgombea binafsi. Anatakiwa kujifunza collective responsibility. Si sahihi kuibuka tu hadharani na msimamo wake bila kujadiliana na wenzake ndani ya chama.
Mkuu mbona unakurupuka,Lissu alisema so far ataendelea na mikutano kama kawaida unless kamati kuu ije na maamuz tofauti;sasa ulitaka collective respo. ya aina gani?alichokosea ni wapi?Jenga hoja ukiwa na taarifa zinazojitosheleza
 
Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Wewe mbulula, kasome kanuni za tume ya uchaguzi ndipo uje na upuuzi wako huu! Na hii ndiyo hasara ya kumsikiliza Sana polepole! Tume na imechemka!
 
Mkuu nadhani tuwe watulivu tusubiri maamuzi maana kamati kuu ina wajumbe zaidi ya 20 so lazima wame debate na kuweka options zote mezani wakaona ipi ina faida kubwa zaidi.

Maana huu ni mtego wa CCM kuona reaction kwa hiyo kutakachoamuliwa leo ndio kitaamua hatma ya upinzani hapo October 28.
Wakiyumba msimamo mi siendi kupiga kura. Nautaka msimamo uleule wa Lissu.
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Tafsiri ya ku mess up katika hoja yako ni ipi
 
Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
unawakilisha watz?!?! nani kakupa jukumu hilo...we sema unawikilisha vibaraka wa watawala.
 
Wewe mbulula, kasome kanuni za tume ya uchaguzi ndipo uje na upuuzi wako huu! Na hii ndiyo hasara ya kumsikiliza Sana polepole! Tume na imechemka!
Relax, wewe umezisoma na mimi nimezisoma pia, kama umeona kuna sehemu nimepindisha ungeleta uthibitisho hapa, hasara kubwa mliyonayo nyie wazee wa ufipa ni moja tu, mnajua ukweli halafu mna ufanya uwe uongo.
Mnajua kabisa sasa hivi ni mchana halafu mnawaambia watu ni usiku.
 
Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
hawatokuwa na jipya zaidi ya kujaribu kuongea kauli za uchochezi tu. Sisi Tutasimamia penye Amani na maendeleo. CCM Tutaichagua
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Upo Tanzania kweli wewe? Au upo Ubelgiji?
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Back
Top Bottom